Recent content by mjusikafiri

  1. M

    Ni vita, Rage amvaa Mnyika

    Lazima Rage aneshe jitihada za kumtetea JK kwani- (1) bila ya msamaha wa JK ageendelea ku**** debe, si mnakumbuka alivyotiwa hatiani mwaka ule, (2) angekosa sifa za kuwania ubunge na nyadhifa zingine kule Tabora na kitaifa, (3) alipokutwa na bastola kwenye jukwaa kule Igunga ya basi yangekuwa...
  2. M

    Mafuta yameanza kuchimbwa Tanzania

    Asikudanganye mtu, ugunduzi wa mafuta nchini Tanzania BADO. Uzalishaji hauwezi kuanza kabla ya ugunduzi. Alichoeleza Mhe. Ngeleja (Mb) ni nadharia inayowasukuma wawekezaji kufikia uamuzi wa kuwekeza mitaji katika utafutaji wa mafuta (zaidi ya US$200 milioni kwa miaka 25), hususan, na kama kigezo...
  3. M

    Absalom Kibanda akamatwa!

    Pole Kibanda, ndio ukubwa. Bi Victoria Ngabire anapambana akiwa ndani jamii ikiona.
  4. M

    Muswada aliosaini raisi kikwete unaweza kutuletea katiba tunayohitaji

    Ni ndoto za Alinacha. Katiba ikitoka ndivyo sivyo, wapinzani wataingia Hoteli ya Magogoni kirahisi na kukomalia humo. La kusikitisha, waliobeza hatua za CDM za kuweka mambo sawa sasa watakuwa wa kwanza kuleta ghasia. Tumeyaona hayo Malawi, Zambia na Kenya. Muhasham Kardinali kaweka wazi hatua za...
  5. M

    GE2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    <br /> <br /> Huyu baba ana mikosi-si unakubuka alipoingia madarakani MV Bukoba ilizama na kuua watu takriban 1,000; baadaye kidogo gari moshi likapinduka vibaya na kuua? Hata Septemba 11 (ya Tanzania) ni kwa wakati wake? Kubwa kabisa hata uhai wa Baba wa Taifa ulitoweka mikononi mwake? Leo...
  6. M

    Kwanini Patrick Rutabanzibwa (katibu mkuu wa ardhi) anaenda jela?

    Mwembe Yanga Dkt alirusha mawe kwenye kichaka ili mafisadi wajitokeze. Hakumaanisha kila aliyetajwa kuwa ni fisadi. Alihisi kwamba kwa kuwa PR alikuwa PS wa Wizara ya Nishati na Madini, basi anajua nani mmiliki wa Meremeta na Tangold. Huyu jamaa ni MSAFI SANA.
  7. M

    Je Kikwete arudishe fedha za nguo anazonunuliwa na nchi yake "maskini'? atumie mshahara wake?

    Si kwamba hana uwezo na fursa, tumejikuta tunarithi utamaduni mbaya, walala hoi "kumnunulia Rais wao soksi na nguo za ndani na nje? Mavazi". Sharti wachangia maendeleo watulipue na kutudharau. Hata kama Salva atakataa ofa ya MWARABU, haiswihi mkulima wa matombo kusikia kuwa kuna fungu la kumvika...
  8. M

    Ewura haina mgao wa bajeti?

    Mbasamwoga, Pole sana kwa kutooelewa unacholipia, ingawa unaelewa lengo la kuanzisha mamlaka za TCRA, SUMATRA, FCC, EWURA na kadhalika. Kwanza kabisa, si kweli kuwa matunda bora ya kuwa EWURA huyaoni. TANESCO ilipoomba nyongeza ya bei za umeme ya asilimia 36 na Serikali kubariki ombi hilo...
  9. M

    Kwanini Patrick Rutabanzibwa (katibu mkuu wa ardhi) anaenda jela?

    Ndugu zangu tutunze heshima ya kuitwa "Great Thinkers", kama humjui mtu usitende dhambi ya ushabiki na kuchafua hali ya hewa au kumsafisha asiyesafishika. Kwa wanaomfahamu PR na utumishi wake, Tanzania haina watumishi wengi waadilifu kama mtu huyu. Alipinga vikali IPTL, leo (miaka 17 baadaye)...
  10. M

    Msemakweli akamatwa, ahojiwa Polisi; aachiwa

    Wahenga walinena "MSEMAKWELI NI MPENZI WA MUNGU", kwa ushahidi ule ulioshuhudiwa na taifa na mataifa, wanaoleta mizengwe (DPP na DCI) wamechelewa. Wasipofunuliwa, tiketi zao kwenda The Hague zinatayarishwa.
  11. M

    Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga, Mti Mkavu (1940-2011)

    Hakika Rtd. Major General Silas Mayunga alikuwa shujaa na kipenzi cha watu. Nilikutana naye mijini Bukoba akitembea kwa mguu, ndani ya combat, bastola moja kulia, ya pili kushoto mwaka 1978 Akila ya zoezi la kumkamata Idd Amini kwa mikono yake. Alito ahadi Amiri Jeshi wa wakati huo (Mwalimu)...
  12. M

    Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga, Mti Mkavu (1940-2011)

    Hakika Rtd. Major General Silas Mayunga alikuwa shujaa na kipenzi cha watu. Nilikutana naye mijini Bukoba akitembea kwa mguu, ndani ya combat, bastola moja kulia, ya pili kushoto mwaka 1978 Akila ya zoezi la kumkamata Idd Amini kwa mikono yake. Alito ahadi Amiri Jeshi wa wakati huo (Mwalimu)...
  13. M

    Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga, Mti Mkavu (1940-2011)

    Hakika Rtd. Major General Silas Mayunga alikuwa shujaa na kipenzi cha watu. Nilikutana naye mijini Bukoba akitembea kwa mguu, ndani ya combat, bastola moja kulia, ya pili kushoto mwaka 1978 Akita ya zoezi la kumkamata Idd Amini kwa mikono yake. Nduli alipojuzwa mkwara huo alisepa haraka kupitia...
  14. M

    Historia ya Hayati Luteni Jenerali Silas Mayunga, Mti Mkavu (1940-2011)

    Hakika Rtd. Major General Silas Mayunga alikuwa shujaa na kipenzi cha watu. Nilikutana naye mijini Bukoba akitembea kwa mguu, ndani ya combat, bastola moja kulia, ya pili kushoto mwaka 1978 akila zoezi la kumkamata Idd Amini kwa mikono yake. Alitoa ahadi kwa Amiri Jeshi wa wakati huo (Mwalimu)...
  15. M

    Jairo ajiuzulu wadhifa wake

    Kujiuzuru ni kujidhuru. Patamu hapo. Hatoki mtu, kwani sis ndio wa kwanza? Tutakomaa na wabunge mpaka basi. Kwanza baba yetu anarudi leo, ndio kwanza anatuletea chocolate za sauzi. Ninyi kama mmefulia tulia mliwe, "sisi tumethubutu tumeweza, tunasonga mbele!
Back
Top Bottom