Jairo ajiuzulu wadhifa wake

Status
Not open for further replies.
Kushtakiwa kwa Jairo hakutaleta tija yeyote iwapo wakubwa zake wakina ngeleja wataendelea kula bata ndani ya wizara. Katibu mkuu hawezi kuamua yeye kama yeye ila ni kwa maagizo kutoka kwa wakubwa zake. Kumwadhibu Gairo ni kielelezo cha kutaka kumfumba mdomo asinene yaliyo ya kweli.
 
Ngoja tuone mwisho wake...manake nimesikia WM Mizengo Pinda kasema Rais amempa maelekezo mengine!!na badae Rais kasema tatizo ni ukame!!mkanganyiko!!
 
Bwana Jairo hajajiuzuru wala hana huo mpango anasubiri muda wake ufike astaafu kwa heshima kubwa. Kimsingi hakujiamulia aliyoyafanya kuna watu wengine juu yake walishirikiana nae Waziri na Naibu Waziri hatujui labda chain inaunga mpaka kwa mkulu mwenyewe
 
TAKUKURU wanangoja nini kuwachukulia hatua hawa wahusika? Polisi Je? Account inajulikana Je, nani kapewa fedha na kwa sababu gani? Je, hiyo account bado iko wazi? Je TAKUKURU wanasubiri sheria mpya?
 
Kujiuzuru ni kujidhuru. Patamu hapo. Hatoki mtu, kwani sis ndio wa kwanza? Tutakomaa na wabunge mpaka basi. Kwanza baba yetu anarudi leo, ndio kwanza anatuletea chocolate za sauzi. Ninyi kama mmefulia tulia mliwe, "sisi tumethubutu tumeweza, tunasonga mbele!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom