Game 3 sasa, hajazipata hasira tu bado? Maana ni jambo la kushtua kidogo city kwenda game mbili mfululizo bila ushindi,jambo la kushangaza zaid game ya 3 leo bila ushindi hii ajabu kweli kwa city
Daah yan tunai solve vipi mzee maana kila baada ya mda naitajika ku update email, kila ivyo naishia kungalia tu maoni ya watu sichangii chochote , comment zinagoma kabisa, naambiwa change email nikichange naambiwa ina Account tayari
Bora Saka kidogo jesus aliweka kufit eneo lake vizuri tu kwenye game na city
Kidogo kidogo tunaziba mianya saivi mwaka jana aslimia 60 tulikua tukikosa baadhi ya wachezaj tunakua na wasiwasi kama
Partey
Saka
Nelly
Saliba
GM6
Ode
Ila msimu huu hata wavimba macho wamebaki na majina mawili tu ni...
Msaada
📌Nilikua nina account ya jamii forum hapo nyuma kidogo kwenye kujisajili ni lazima kutumia email, iyo account niliiacha kutokana na sababu mbalimbali.
📌 Now nina account hii na ndo naitumia ila nilijisajili kwa email nyingine kabisa ambayo haiko active.
📌naomba msaada jinsi ya...
William Saliba:
"When a team beats us, we want to then beat them. We watched videos from the first match (vs Lens), looking at what we did well and what we did poorly and that worked.
At home, it was easier for us." [Canal+ via GFFN]
[emoji419][emoji419]Aliyepata japo pointi moja mzunguko wa...
Nakumbuka wakati hawa Lens wanatupiga bao kule kwao, kuna qatu walikuja kulishambulia hili jukwaa na kumlipiga sana Spana Hamis nakumbuka kauli moja ya hamisi alisema ""ivi hawa Lens kama Arsenal angekua anataka point tatu ili afuzu hatua inayofuata angeweza ubavu wa kupishana na Arsenal""...
Kuna game baadhi hua zikichafuka yan arsenal tunatafuta goli kwa udi na uvumba kwenye dakika 80+ li Gabriel hua linapiga forward pass za hatari aisee hadi hua nashangaa ili jamaa linauwezo mkubwa kiasi hiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.