Recent content by mjunangoma

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msigwa wa Ikulu Wenzetu Mmezoea Uchafu Hivi?...

    Haya wenye jicho la tatu wameliona hilo.hakika si kila mtu anaweza angazia huo uchafu kwa haraka haraka.mkuu uko smart.good Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Aina mpya ya utawala unaozaliwa na vyama vya siasa vya upinzani ni tisho kwa mustakabali wa Tanzania. Watanzania tuvikatae

    Structure ya vyama vyao wameichagua wenyewe wewe shida yako nini? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tundu Lissu azawadiwa gari(Bus)

    We ndo wale jirani yako akinunua shati jipya unaponda et eeh" shati rangi mbaaaaya"haaaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Lissu kanyamaza baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kupata dhamana?

    Operationa ya 22 ndo imempata Si alisema anarudi kufanyiwa so Ishajua hali yake ? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kulala Kifo cha mende kibaya sana kunanitesa

    Usiku usishibe sana kula light diet na fruits Usipende kulala ukiwa tumbo ndiii ili digestion itake place sawasawa Lala tumbo likiwa na space
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenye umri chini ya miaka 28 hawafai kimapenzi

    Kaolewe na NBC
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimeingia Tabora leo hii, aiseeh Wanawake wengi mnooo, aiseeh wanaume wenzangu mnapona kweli?

    Yamtokayo mtu mdo awazayo Huyu anawaza wanawake tu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Isicheze na kuachwa Si yeye Afu sijajua shule yake nahisi ndo vile
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

    Asilimia 92% ya matatizo ya ndoa yanasababishwa na wanaume
  10. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Michezo hii inayochezwa barabarani watoto wanaifurahia sana, wangependa ifanyike kila siku

    Ange tweet kibajaji maneno haya haya ungesema"anaakili sana ka tweet kikubwa" Tatizo ni wewe.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Kwani walioandamana us hawana kazi Au we ulidhani wazungu nao wataandamana Haya ni maandamano ia Tz tu Anyway kama binti mmoja analighalimu jeshi mamilioni je akiamua jila mwezi atangaze maandamano nchi si itafilisika Yani mmm binti mmoja ndo anatesa askari wote hao je wakija alshabab
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya Aprili 26, 2018: Yanayojiri kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya nchi

    Kwani ulaya wako mbele kwa masaa mangapi? INAMAANA TAREHE YAO ILIKUWA 25 kama us. A geografia uli bashite
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

    Huwa nawaonea sana huruma akina dada Wao wakiamua kupenda wanapenda sana na kwa moyo mmoja .Tatizo ni kwa wanaume kwakweli wanaume wanawatesa sana dada zetu kwa kuwatumia kama burudani. Ni ngumu sana kukutana na mwanaume anayependa mmoja tu. Unaachana na mwanaume huyu baada ya kuimizwa sana...
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya kwanza kuchepuka nililia machozi

    Kumkataa shetani ni ushindi mzuri.Hongera sana kwa kuamua jambo jema la kuacha umalaya
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mnaotetea Rais Magufuli kutohudhuria mikutano mikubwa ya kimataifa someni hapa

    Huwa naangalia mijadala ya wabunge wetu na majibu ya mawaziri wetu nasikitika sana Nchi ya Malaysia walipo amua kitoka kwenye umaskini hawakuwa na wabunge wajingawajinga kama hawa hawa akina kibajaji Unaona kabisa taifa linaviongozi wa hovyo hovyo ambao kwa uhakika hawawezi fusha nchi popote...
Back
Top Bottom