Msigwa wa Ikulu Wenzetu Mmezoea Uchafu Hivi?...

Hilo dude likibadilishwa lina impact gani kwa mwananchi wa Tanzania asiye hata na uhakika wa milo mitatu? Hivi vitu vingine tuwaachie wenzetu walioendelea

Sent using Jamii Forums mobile app
Ingawa ni kweli huenda issue ikawa minor ila utanashati na usafi hauhitaji pesa, mfano kuwa na shati moja kauka nikuvae sio uchafu, ni ukosefu wa fedha ila kuvaa shati chafu sio umasikini huenda pesa ya sabuni unayo na nyumbani kabati limejaa ila una tabia ya uchafu
 
Mzee wangu bado tu hawajaupata huu ujumbe wako??? Mbona naona kama wameshabadirisha na siku hizi wanatumia podium kama ya white house vile..

Si bora wangekuwa wanasafiri na lile la kioo; hili wanaenda nalo kwenye ziara kila mahali; sijui hata kama wanalitunza vizuri. Ni kama wanalirusha kwenye karandinga halafu msafara unaendelea... mbona yale mazuria mekundu huwa yanakuwa masafi...
 
Ingawa ni kweli huenda issue ikawa minor ila utanashati na usafi hauhitaji pesa, mfano kuwa na shati moja kauka nikuvae sio uchafu, ni ukosefu wa fedha ila kuvaa shati chafu sio umasikini huenda pesa ya sabuni unayo na nyumbani kabati limejaa ila una tabia ya uchafu

Hivi unajua kuna watu wanaishi maisha ya chini (hawana kipato kabisa) lakini ni wasafi hadi kwenye vyumba vyao... siyo utanashati tu... sasa mtu anayefikiria kula ni bora kuliko 'usafi' na haoni uhusiano wa mambo hayo mawili ni mtu ambaye hamna namna ya kumsaidia.
 
Hilo dude likibadilishwa lina impact gani kwa mwananchi wa Tanzania asiye hata na uhakika wa milo mitatu? Hivi vitu vingine tuwaachie wenzetu walioendelea

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo mwenzet unaamini walioendelea ndio wanatakiwa kuwa wasafi.? fikra hizi natumaini huzipitishi kwenye kizazi kingine.. au ndio wale ambao ukiona mtu ana bustani nzuri nyumbani kwake unasema "anaishi kizungu"
 
Ha ha ha
Ila MM hili dude hulipendi kama nini.
Mara ya kumi hii unawapigia kelele.
Wewe upo USA ila kwa Africa hilo ni safi linatumiwa na Rais anayekusanya zaidi ya 14trilion per month.
Hilo dude halizidi 10mil.

Ila ushawahi kujiuliza kuhusu masharti ya mganga?

Kwa vile upo US huwezi kujaribu kuifikiria hii point but I beg you to include this pont too

Unajua Wakatoliki wanamsemo kuwa "usafi ni jambo la pili baada ya ucha Mungu"... Jamii zote zilizoendelea zinachukia sana uchafu... huwezi kuwa na taifa la walioendelea lakini akili zao bado hazioni hata uchafu umewazunguka...
 
Yaani katika issue zooote zinazoendelea nchini hili ndo umeliona la maana?
Huwezi kumlaumu Msigwa yeye siye anayetoa hela ya kununua podium kutoka mfukoni mwake

Hivi hujawahi kujiuliza kwanini hospitali wanasisitiza sana usafi wakati kuna wagonjwa wengine tena wachafu kweli kweli; umewahi kujiuliza kwanini hata paka anafukia uchafu wake? Ukizoea uchafu kuuangalia mwisho huoni kuwa ni uchafu; ndio maana watu wanaweza wakavaa suti na tai huku wanaruka mfereji wa mavi na hawaoni kinyaa wala kudhania uwezekano wa kutaka usiwepo... wamezoea sana uchafu...
 
Hili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!

Sisi inatuhusu nini?????

Kwani huyo anayelitumia yeye ni msafi?? Tuanzie hapo Kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili dude mnalibeba, mnaliona, mnasafiri nalo kila mahali Rais anakwenda; halafu wote mmevaa tai vizuri na Rais anaonekana yuko sharp.. halafu anasimama mbele ya hili dude.. kweli kabisa wenzetu mmezoea uchfu namna hii hata hamuuoni... Basi lipakeni rangi ya kuficha uchafu kama hamuwezi kabisa kuwa na kitu kisafi kinachomstahili Rais wa JMT!

Nafikiri sasa ni mara ya pili au zaidi nasoma nonsense kutoka kwako.
 
Back
Top Bottom