Dada usiumize moyo wako mana unaweza pata matatizo makubwa zaidi ya ayo,We mtafute mtoe out sehemu unazujua anazipenda piga na story akitaka mzigo mpe ki ukweli baada ya apo na wewe utakuwa umeshamaliza dukuduku lako kiasi akija mwenye nia ya kukuoa utakuwa free kuwa nae kuliko kujiweka kwenye...
>Mwalimu Songoro wa BK a.k. makabati.
>Daladala la Shela Beach ubungo posta mwanafunzi wa Azaboy ata usipokuwa na nauli unaenda school na kurudi.
>Tuition kwa Emmi
>Kuna teacher alikuwa anafundisha hesabu ngumu pale magomeni white anaitwa Marco
>Ukikutana na kwayu kama umetoroka unaelekea...
Mi sijaoa natafuta mdada Mnene kama wewe,maana wanawake wa kiafirika wana asili ya unene,mwanamke nyama,english figure wagonjwa hao. mama pls nipe contact zako
Tabia ya Madereva Daladala kusoma magazeti wakiwa wanaendesha magari ya abiria imekisiri kiasi cha kutishia usalama wetu watumiaji wa Daladala,naomba vyombo usika vichukue atua hii tabia pamoja na ile ya kuendesha gari uku akiongea nasimu.
Hongera kaka kwa kupata mapacha uwezi jua ndio bahati yako,Tafuta mtu wa familia mwenye kutunza siri mkae nae muonge jinsi gani yakujitambulisha kule an kuwaeleza kama una mke na watoto pia utawatunza watoto wako wote kadri ya uwezo wako,utalipishwa faini za kidizaini mambo yataisha baada ya mda...
Hao Ndio wachumi wa daraja la kwanza je wasingesoma ingekuwaje na jee hao wa daraja la pili wakoje ikiwa walakwanza ni mjinga kiasi hicho.
Ukisema walevi wagome na wavutaji wagome kuvuta wataku LIMBOKA kwani utakuwa unataka kuangusha serikali yao kwa kuanzisha migomo iliyokataliwa na mahakam...
Mwigulu Nchemba anajisifia jana yeye ni mchumi wa bank kuu kwa lipi jema BoT ilichofanya kwa ajili ya maendeleo ya nchi hii kipindi yeye yuko kazini kama Mchumi<Mwigulu Nchemba> kwa miaka iyo 8.
Anaongea matusi alafu anajisifu yeye ni mchumi kama si kuzaraulisha wachumi waliopo Tanzania kama...
Duuu Mama Yangu inamana uyu mzee alikuwa anatembea na uyu mtoto mtume!!!!!!!!!!
Mila na destruri za kiafrika zinasema mtoto akionyeshwa sehemu za siri za mzazi wake
atakuwa ameachiwa laana baada ya kuona viungo vya uzazi vya mzee kwaiyo mtoto uyo
ameachiwa laana kwa kuona viungo vya uzazi vya...
Watoto wa Watanzania wenye asili ya Asia nao wanataka kuwa WabungeMawaziri ukiwambia kwenda jeshini uko haiwausu.
Watoto waviongozi wasasa wao wanataka kuwa Wabunge,Mawaziri,Wakurugenzi ata bila kuwa na uzoefu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.