Amejitokeza adui wa nne (4) wa maendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Amejitokeza adui wa nne (4) wa maendeleo

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by HAKUNA, Apr 19, 2012.

 1. H

  HAKUNA Senior Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 134
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mwalimu Nyerere alisema kuna maadui watatu (3) wa maendeleo ambao ni ujinga, umaskini, malazi,....katika kizazi cha sasa ameibuka adui mwingine - MAPENZI......!!!!!, refer KANUMBA death.

  > JE KUNA UKWELI KATIKA HILI?
  > TUFANYAJE KUMPINGA ADUI HUYU, AMBAYE SASA AMEFIKIA HADI HATUA YA KUCHUKUA UHAI WA WAPENDWA WETU.
   
 2. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ufisadi umeuweka wapi?
   
 3. k

  kabye JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nitarudi
   
 4. m

  mjukuu2009 Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 91
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  ADUI WA NNE NI CHAMA CHA MAPINDUZI-CCM  Ndio kinatuongezea umasikini,ujinga,njaa na vingine..................
   
 5. WALIMWEUSI

  WALIMWEUSI JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 9, 2011
  Messages: 2,058
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  'semeni nyie jamani semeni,semeni yanayowasibu'
   
 6. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Adui wengine ni option sasa ukiona mapenzi yanakuletea hasara kuliko faida unayang'ang'ania ya kazi gani?
   
 7. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hao maadui watatu wamepata mzazi nae ni ccm.
  kwa hiyo tunasema maadui watatu wameunganishwa na ccm na sasa tuna adui mmoja mwenye pembe nne,mikia 40,vichwa vitatu na suluhu yetu ni sanduku la kura 2015.
   
 8. Mukhabarat

  Mukhabarat Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 88
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Duu! Malazi au maradhi?
   
 9. N

  NSAGHURWE Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 19, 2012
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usimsingizie Mwalimu,katika maneno yake hakutaja malazi(shelter) kama ni adui.Adui aliyetajwa hapo ni maradhi
   
Loading...