Bajeti ya Ajabu kutokea duniani

Bajeti ya Ajabu kutokea duniani

Hii ni fedhea, yani hata kubuni chanzo cha mapato ni taabu. Hivi jamani hatuna hata National think Tank? Hata kuweka road tolls si tunapata mapato jamani. Hawa wahisani watatufunga kamba shingoni hadi lini?
 
Unapokuwa na viongozi wenye uwezo mdogo wa kufikiri matokeo yake ndo haya kila mwaka the same silly Badget
 
Hivi Tanzania haiwezi KABISA kuandaa bajeti na kuendesha nchi bila kutegemea VILEVI (POMBE) na SIGARA????? NI AIBU SANA MAANA TUNA MALIASILI NYINGI SANA ZINAZOTOSHA KUENDESHA NCHI BILA YA KUHITAJI VILEVI. Kazi tunayojua ni kuuza wanyama/madini kwa kutegemea mrahaba wa 3% na ufisadi tu.

Ni aibu

Labda hadi maombi yajibu ili wachumi wafunguke fikra zao,kama mgoni nchemba alisema waombee .Rais dhaifu, bunge dhaifu na chama dhaifu unategemea nini? Ikiwa vyote ndo hivyo tena.
 
Mwakani Biashara ya ngono na madawa ya kule.... kwani umesikia watuhumiwa wowote waliohukumiwa?.
 
Unapokuwa na viongozi wenye uwezo mdogo wa kufikiri matokeo yake ndo haya kila mwaka the same silly Badget

" This is the silly season, to prepare a silly national budget, to fool our citizens, to fool our children and to fool ourselves....SHAME ON YOU GOVERNMENT OF TANZANIA, SHAME ON YOU PEOPLE OF CCM, SHAME ON YOU PARLIAMENT OF TANZANIA'' ( copied and edited from Mh. Tundu Lissu's speech)
 
Usishangae, hapo ndiyo uwezo wetu wa kufikiri ulipoishia,
tukiongozwa na wachumi waliobobea kama Mwigulu Nchemba..

Hao Ndio wachumi wa daraja la kwanza je wasingesoma ingekuwaje na jee hao wa daraja la pili wakoje ikiwa walakwanza ni mjinga kiasi hicho.
Ukisema walevi wagome na wavutaji wagome kuvuta wataku LIMBOKA kwani utakuwa unataka kuangusha serikali yao kwa kuanzisha migomo iliyokataliwa na mahakam.

Mwisho wao umekaribia
 
Uuuuuwiiiiiiiiiii! My country now all tanzanian we are accounted that were stupid becouse were drive our country through the power of alcoholism uuuuuwiiiiiiiii tanzania you die you dieeeeeeeeeeeeeee!
 
stop complaining do somethings the right way. kick out everyone doing it arrogantly and the wrong way.
 
Back
Top Bottom