Nataka kumsahau kabsa!

Nataka kumsahau kabsa!

pole bestito kwa masahibu hayo jambo la muhimu kufanya ni vyema umfute katika mawazo na kama una vitu, au namba yake ya simu vifute kabisa ili isiwe sababisho la kumkumbuka tena na ikiwezekana jaribu kumwomba Mungu akusaidie umfute katika mawazo yako yote kwani utakuja pata shida sana huko mbeleni na yataleta kudidimia mwili na akili pia, jifunze kusahau kabisa na kutomtilia maanani, kwani wanaume ndivyo walivyo wana matatizo yao
hata kwangu yashanikuta kama yako besti hivyo songa mbele na jifunze kumfuta na kumsahau kabisa
Habarini wapendwa! Jaman mapenz haya! Mh! Ni story ndefu ila kwa kifup niliachana naye mwshon mwa mwaka jana baada y kuniambia ameoa ilinium sana but kw ujasiri nkamwmbia aendlee na mkewe aniache kwan altak 2endlee na uhusiano,nikatuplia mbal kumbkumb zake na kujpa moyo atlst ilinisaidia kuondoa machungu moyoni.asa toka juzi nimekuw nikimuwaza sana had nataman kumtafta but najizuia kwan haitanisaidia then ctak ajue kuw nammis japo nilitaman sana awe wangu w maish but nd hvy mung hajapanga.sasa nifanyaje ili NIMSAHAU KABSA?pleease help me!
 
Time !time !my dia will help you heal,don't deny those feelings ziache zije .taratibu utasahau but usifosi as people wanavyosema,face them! We have a big mind it will help you
 
Habarini wapendwa! Jaman mapenz haya! Mh! Ni story ndefu ila kwa kifup niliachana naye mwshon mwa mwaka jana baada y kuniambia ameoa ilinium sana but kw ujasiri nkamwmbia aendlee na mkewe aniache kwan altak 2endlee na uhusiano,nikatuplia mbal kumbkumb zake na kujpa moyo atlst ilinisaidia kuondoa machungu moyoni.asa toka juzi nimekuw nikimuwaza sana had nataman kumtafta but najizuia kwan haitanisaidia then ctak ajue kuw nammis japo nilitaman sana awe wangu w maish but nd hvy mung hajapanga.sasa nifanyaje ili NIMSAHAU KABSA?pleease help me!

Hapa mtaani kwetu kuna bibi anaitwa Mtabiri Bi. Dr. Munkari, nimeona kwenye tangazo lake kitu kimojawapo anachotibu ni kutoa dawa ya kumsahau kabisa mpenzi wako, dawa inaitwa Munkari25.
 
we cimplicity wewe! Acha utan banaa
 
Pole sana!embu subiri kwanza madam ,yaani umeachana naye mwaka jana afu kwanni umemkumbuka sasa?tufahamu hicho kilichofanya umkumbuke sasa tukikijua hicho itakua rahisi kumbana nacho na kukishinda,
inaonesha unampenda sana(ulimpenda sana kuwa sahihi zaidi),kwanza ili ufanikiwe kubali ukweli huo(kwamba ulimpenda) na utumie ukweli huo kama ngazi ya kupanda kutoka kweny penzi hilo jumla,ielekeze akili na moyo wako hivyo itaelewa tu(you to persuade that other person inside you and she will stand).
Any love(relationship )one goes through should have no room for regreat and self condemnation only lesson.
"He is not worthy your love thats why he had to disqualify himself" use this phrase whenever thoughts of him land on you mind,
i belive get out of it,wishing you happy forgeting!
 
huyu ni kati ya wadada wachache humu wasiokunwa...

Duh nimempenda ghafla..
Eden hapajaguswa miezi kadhaaa...
Munkari nakuomba PM.
 
Last edited by a moderator:
Dunian wawil wawil uchofu ukiona hvyo hakuandaliwa kwa ajil yko cha kufanya futa kla aina ya kumbukumbu
zake km vile hujawah kua nae mambo yake yte tupilia mbali kabsa!
 
huyu ni kati ya wadada wachache humu wasiokunwa...

Duh nimempenda ghafla..
Eden hapajaguswa miezi kadhaaa...
Munkari nakuomba PM.

acha uzinzi!
 
Last edited by a moderator:
Mh! Harakat nashkuru kw ushauri wako tatzo ameshaoa unadhani nitakuw na furaha kama ilivyokuw zaman nahc ndo ntaumia zaid nkisema niwe nae huku tayari anawake wife aisee acha nivumilie may be yataisha.
Dada usiumize moyo wako mana unaweza pata matatizo makubwa zaidi ya ayo,We mtafute mtoe out sehemu unazujua anazipenda piga na story akitaka mzigo mpe ki ukweli baada ya apo na wewe utakuwa umeshamaliza dukuduku lako kiasi akija mwenye nia ya kukuoa utakuwa free kuwa nae kuliko kujiweka kwenye mawazo kama ayo.mtafute umpe.
 
Ni kweli, kama Munkari angekuwa ana mtu wa kumkuna Eden, angeshamsahau huyo Dr wake...

Nami nahisi ni binti anayefaa kuchumbiwa kabisa
 
Habarini wapendwa! Jaman mapenz haya! Mh! Ni story ndefu ila kwa kifup niliachana naye mwshon mwa mwaka jana baada y kuniambia ameoa ilinium sana but kw ujasiri nkamwmbia aendlee na mkewe aniache kwan altak 2endlee na uhusiano,nikatuplia mbal kumbkumb zake na kujpa moyo atlst ilinisaidia kuondoa machungu moyoni.asa toka juzi nimekuw nikimuwaza sana had nataman kumtafta but najizuia kwan haitanisaidia then ctak ajue kuw nammis japo nilitaman sana awe wangu w maish but nd hvy mung hajapanga.sasa nifanyaje ili NIMSAHAU KABSA?pleease help me!

Assume kuwa alishafariki kitambo I can guarantee you will be at peace
 
Mh! Harakat nashkuru kw ushauri wako tatzo ameshaoa unadhani nitakuw na furaha kama ilivyokuw zaman nahc ndo ntaumia zaid nkisema niwe nae huku tayari anawake wife aisee acha nivumilie may be yataisha.

Pole kwa hilo..If mlikuwa kwenye uhusiano na akaoa mtu mwingne ni direct hakukupenda sana na hakutamani kuspend maisha yke na wew mpaka kifo dats y akaoa kwingne..So we mpotezee coz utajidhalilisha bure..Ataishia kukutumia tu.
 
::
Chukua kalamu na karatasi ukiwa peke yako..
Andika kila kitu kumhusu yeye na jinsi unavyompenda..
Eleza waziwazi hisia zako usivyoweza kuishi bila yeye..
Ukimaliza choma moto karatasi hizo.
Fanya hivyo kila unapomkumbuka itafika mahali utaweza kutofautisha maisha ya sasa na ya zamani,na utasonga mbele.
=

Hahahaha, hizi mbwembwe tu, hawezi kumsahau labda apate mwingine anaye cover hiyo nafasi ya x wake vizuri. Kama ni kuchoma makaratasi atamaliza pen zote na madaftari yote bado jamaa yupo akilini.
 
Habarini wapendwa! Jaman mapenz haya! Mh! Ni story ndefu ila kwa kifup niliachana naye mwshon mwa mwaka jana baada y kuniambia ameoa ilinium sana but kw ujasiri nkamwmbia aendlee na mkewe aniache kwan altak 2endlee na uhusiano,nikatuplia mbal kumbkumb zake na kujpa moyo atlst ilinisaidia kuondoa machungu moyoni.asa toka juzi nimekuw nikimuwaza sana had nataman kumtafta but najizuia kwan haitanisaidia then ctak ajue kuw nammis japo nilitaman sana awe wangu w maish but nd hvy mung hajapanga.sasa nifanyaje ili NIMSAHAU KABSA?pleease help me!

Simple....mpate zaidi yake mwenye uwezo wa kukufanya uchanganyikiwe kimahusiano hadi umsahau yule.
 
Back
Top Bottom