Recent content by mjimwema1

  1. M

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    Hivi shanga ni nn! Wajinga ndio waliwao....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Pasua kichwa za mahusiano na mwenza anayesoma chuo

    Uamuzi mzur huo situation kama yako nimeexpirence miaka kumi iliyopita na nikachukua uamuzi kama wako nikifanikiwa kwa asilimia 100
  3. M

    JamiiForums Tanzania Stori za radi dhidi ya Kondoo ni za kweli?

    Nilitaka kumjibu hivyo hivyo...! Hii maada ni ya age go watoto wa juz haiwahusu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu Ofisi ya CAG

    Alisha pigwa bun sk nyingi watu wamekaa kimajungu haya ndio mabadiriko tuliyoyataka watz siyo watu kujifanya miungu watu kwenye ofis za umma
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu Ofisi ya CAG

    Hii kitu inajulikana ni ya kupikwa kwasababu ya chuki binafsi za watu baada ya mirija kuzibwa na prof
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimesomesha mchepuko nimepata matokeo chanya!

    Inaonekana ulipigwa vizur Sana enzi hizo ndio maana kakuhurumia pole yako..!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mfadhili wa kunifadhili

    Hivi na ww uliye chagua ukawa huna uhitaji wa msaada kutoka kwa yeyote au kuchagua ukawa unakuwa umekamilika
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mama mkwe amevunja ndoa yangu

    Akajiunge na shigongo anaweza toka pia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje Mpenzi wangu

    Kwan kingereza hujui?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Usichokijua kuhusu GOOGLE: Facts zitakazokufumbua macho!!

    Utakuwa na matatizo yako hasa pale unapolazimisha kutaja Jina la mtu kwenye mada kama hii.....
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kila kitu ni wasukuma tu,kuna ukweli hapa

    Huyu kabambikiziwa lkn umewahi ishi na wazukuma? Binafsi si msukuma ila nimeishi msukuma wa Hali ya chini Katavi ebwana hawa jamaa ni tatizo amini usiami
  12. M

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday: Jiunganishe na mtu ambaye amezaliwa mwezi mmoja, siku moja na wewe

    Ngoja mm nimtafute fid q sasa ishakuwa tabu hakuna kabisa pacha 13 Aug ajitokeze
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yangu hatarini, napewa unyumba kwa kulazimisha

    Ww jifanye jemedali na wake zetu tu ila nikifanikiwa kukukamata wallah mku*du halali yangu
  14. M

    JamiiForums Tanzania Maeneo yenye watoto wakali Dar

    Utakuwa mwanafunzi tu ww huna majukumu tafuta kitu kikuweke bize uachane na huo upuuzi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto yangu - Nimeenda eneo nisilolijua na kukutana na vitisho

    Jiaandae kuwa mshirikina nambari moja kwenye familia yenu maana hata ndoto yenyewe inatafsiri hivyo
Back
Top Bottom