Natafuta mfadhili wa kunifadhili

Natafuta mfadhili wa kunifadhili

Shida yako halafu unasubiri utafutwe..... utasubiri sana.







Mwenye shida angejieleza vyema na kuweka vithibitisho. Hata kwa kuwatumia mods ilikujiridhisha...hapo ungesaidiwa....

Anyway.....endelea kusubiri
ningeweza fanya hvyo lakin tatzo simu yangu haina uwezo wa kutuma na ku-upload mods na hata photo ila naomba nieleweke tu kwa yeyote atakaekuwa tayari anambie halafu nimtafute then ntamuwasilishia uthibitisho
 
hao viongozi wanaokuzunguka wameshiriki vipi katika kukusaidia?
 
Kwa Kweli Hakuna Aliyenisaidia Hata Mmoja Zaidi Ya Kuniambia Nimtafute Mfadhili Tu
 
Back
Top Bottom