Nimesomesha mchepuko nimepata matokeo chanya!

Wana MMU
Salaamu,

Me nimeoa miaka 18 iliyopita,kwenye hii mitandao ya kijamii nilibahatika kukutana na binti mmoja mwaka 2008. Wakati huo alikuwa kidato cha 6. Hapahapa dar.

Km ilivyo kawaida,tulianza kwa ku-chat kisha tukaonana na baadae nikaomba mzigo,haikuchukua muda sana nikapewa papuchi. Tukaingia rasmi kwenye uhusiano tangu wakati.

Baada ya kumaliza masomo yake ya A-level,aliendelea na elimu ya juu ktk chuo kikuu cha Dar es salaam. Kwa sasa amehitimu na anafanyakazi kwenye taasisi moja kubwa tu ya serikali.

Wakati anasoma,nimemsaidia sana kwakweli,sikuwa na namna ya kutomsaidia kwa jinsi nilivyokuwa namuona km mtu mwenye maono na malengo. Kulikuwa na tatizo moja lililokuwa linanisumbua kipindi chote,hakujua km NIMEOA!

Na kwakweli aliamini nitakuja kuwa mumewe. Mwaka juzi 2014 aligundua km me nna mke. Aliumia sana kwakweli,lkn tuliongea nikaomba radhi na akanisamehe kwa sharti la kuwa ndugu tu,mapenzi tena hapana!

Nilikubaliana nae na akaomba nimruhusu akipata mtu aolewe..! Sikuwa na kinyongo nilimruhusu kwa moyo mweupe. Hatukuonana tena tangu siku hiyo,na mawasiliano yetu yalipungua sana! Mwaka jana mwezi wa 7 akanitumia picha za kitchen party,send-off na za ndoa.

Nikampongeza kwa kuolewa. Yeye anafanyakazi mkoani lkn kaolewa na mume anayeishi dar.

Mwezi wa 12 alikuja likizo,akaja hadi kwenye biashara yangu bila hata kunijulisha. Alikuwa amependeza sana,tuliongea mengi sana. Kuna sehemu najenga na alikuwa anaijua. Akaniuliza nimefikia wapi,nikamueleza,baadae tukaenda hadi kwenye jengo lenyewe. Nilikuwa nimemaliza kujenga lkn sikuwa tena na hela za bati.

Kwa vile ni nyumba ya kuishi,sikuwa na haraka nayo. Lkn alipoiona na nikamueleza jinsi nilivyo na hali mbaya,kuimaliza itachukua si chini ya miaka 3. Akaniahidi akirudi atanitumia hela kidogo niezeke. Baadae tukatoka si unajua tena hatukugombana ki-vileee! Haikuwa rahisi kuachana hivihivi. Tukaenda kukumbushia.

Jana alinipigia simu akaniambia leo atanitumia hizo hela. Kweli nimepokea leo milioni 3. Kwakweli nimekosa hata maneno mazuri ya kumuelezea shukrani zake kwangu. Kesho pia ataingiza km hizo. Npo na fundi hapa hivi sasa ananipigia hesabu ya mbao na bati.

Kumbe yale maneno ya mpnz au mchumba hasomeshwi,hayana ukweli. Wale mnaosomesha fungeni mkanda tu inalipa...!

Nawasilisha.

Bila shaka ulpga kavu...lol.

Akpata mimba aanze kulaumu 49% ya mkemia mkuu
 
Kupewa pesa co kitu kibaya ila mwanamke kakosea maana alifanya nae tena kukumbuka enz kama mimi ndo nataka kumuoa napiga chin tu panda mti kata mti
 
Bila shaka ulpga kavu...lol.

Akpata mimba aanze kulaumu 49% ya mkemia mkuu
Naona hili linaulizwa sana,nilikuwa nimelipuuza lkn ngoja nilijibu hapa. Hata kabla ya kutengana kwa muda,sikuwahi kushiriki bila kinga. Kwa kipindi chote tulitumia kinga hadi siku ya kukumbushia.
 
Umefanya vibaya broo pesa kakupa kisha ukakumbushia tena wakat unajua huyo ni mwanamke c wako tena kama aliolewa umepata zambi
 
Naona hili linaulizwa sana,nilikuwa nimelipuuza lkn ngoja nilijibu hapa. Hata kabla ya kutengana kwa muda,sikuwahi kushiriki bila kinga. Kwa kipindi chote tulitumia kinga hadi siku ya kukumbushia.

Mke Wa mtu ni mtamu sana, kama ultumia kinga sijui kama ulipata ule utamu unaozungumziwa hapa.

Any way ngoja nkuulze , ultumia kinga ya kuzuia mimba au kale kaugonjwa ka utamu utamu??
 
Una uhakika kuwa hii tabia ipo kwa watanzania tu?? Siamini km unachosema kina ukweli. Ukisema ni tatizo la Dunia nzima ntakuelewa.
naongea ninachojua huko duniani kwengine sijaishi wala sijafanya tafiti.....wewe ongea unachojua...ujinga wengine wa kuongea mambo usizo zijua ...
 
Dada ulichoongea nakubaliana na wewe kabisa. Lakini ujue dada watu tunafanya haya sababu ya maisha. Lengo ni kufanikisha maisha ila tajitahidi kufuata ushauri wako. Nikishindwa nisamehe na uniombee kwa mungu.
Mkeo nae angepata danga la hivo mngekua mabilionea I guess.....
 
Me sikuhukumu coz sistahili na sina mamlaka hayo na sijui yalikukuta yapi hadi ukaingia kwenye hayo mahusiano. Ila please muheshimu Mungu, kiapo chako cha ndoa, na muheshimu mkeo pia. Assume tu mkeo ndo anakufanyia hivi ungejisikiaje?

Pili please usimpotezee muda binti wa watu while unajua kabisa haitotokea mkaoana. Afu worse enough hajui kama umeoa. Usiruhusu machozi ya huyo binti yakawa laana kwako na kwa kizazi chako. Afu inaonekana kama hiyo offer ya kazi inakuchanganya akili now. Please mkimbie shetani kabla hujaja kubomoa familia yako kwa mikono yako mwenyewe
Gelofriend teh nakuonea huruma unavohangaika na viboro dinda
 
Hukumwelewa, keshaolewa. Bado wanaume tunashinda kwenye mahusiano inawezekana na huko alikoolewa kadanganywa na kwenda kuwa mke wa pili
Umeona eeh.. Life is never fair,ukipata mnyonge wako we kandamiza tu sababu kuna sehem mwingine anakuonea...
 
Dada brenda kwanza ufahamu huyu mtu sijakutana nae live tofauti na skype na tunaongea sana akiwa anapata chakula chuoni na akiwa nyumbani kwao. Hapa dada tunatafuta fursa halali kuliko kumeza madawa ya kulevya ni bora ukajaribu maisha kwa style hii kitu kimoja ambacho nampenda niliona nikimwambia sina demu ataniona sididishi ama nina kasoro hivyo nikamtamburisha mtoto mmoja tu kuwa huyu ndo nilizaa na ex girlfriend wangu na anamfahamu. Samahani dada naposti baadhi ya vielelezo vya DHL lkn simu yangu inaonyesha kama picha imegoma nijulishe kama huko zinaonekana au nifanye vipi zitoke fresh. Dada huko tunaenda tu kujaribu maisha na siwezi kuwaacha watoto na mke baadae tamwambia tu mbele ya safari maana hamna namna.
Mimi nimekuelewa sana najua hapa watu watakurukia but do what you can do to get where you want to
Tuombe ajali kazini zisiwepo,best of luck
 
Wana MMU
Salaamu,

Me nimeoa miaka 18 iliyopita,kwenye hii mitandao ya kijamii nilibahatika kukutana na binti mmoja mwaka 2008. Wakati huo alikuwa kidato cha 6. Hapahapa dar.

Km ilivyo kawaida,tulianza kwa ku-chat kisha tukaonana na baadae nikaomba mzigo,haikuchukua muda sana nikapewa papuchi. Tukaingia rasmi kwenye uhusiano tangu wakati.

Baada ya kumaliza masomo yake ya A-level,aliendelea na elimu ya juu ktk chuo kikuu cha Dar es salaam. Kwa sasa amehitimu na anafanyakazi kwenye taasisi moja kubwa tu ya serikali.

Wakati anasoma,nimemsaidia sana kwakweli,sikuwa na namna ya kutomsaidia kwa jinsi nilivyokuwa namuona km mtu mwenye maono na malengo. Kulikuwa na tatizo moja lililokuwa linanisumbua kipindi chote,hakujua km NIMEOA!

Na kwakweli aliamini nitakuja kuwa mumewe. Mwaka juzi 2014 aligundua km me nna mke. Aliumia sana kwakweli,lkn tuliongea nikaomba radhi na akanisamehe kwa sharti la kuwa ndugu tu,mapenzi tena hapana!

Nilikubaliana nae na akaomba nimruhusu akipata mtu aolewe..! Sikuwa na kinyongo nilimruhusu kwa moyo mweupe. Hatukuonana tena tangu siku hiyo,na mawasiliano yetu yalipungua sana! Mwaka jana mwezi wa 7 akanitumia picha za kitchen party,send-off na za ndoa.

Nikampongeza kwa kuolewa. Yeye anafanyakazi mkoani lkn kaolewa na mume anayeishi dar.

Mwezi wa 12 alikuja likizo,akaja hadi kwenye biashara yangu bila hata kunijulisha. Alikuwa amependeza sana,tuliongea mengi sana. Kuna sehemu najenga na alikuwa anaijua. Akaniuliza nimefikia wapi,nikamueleza,baadae tukaenda hadi kwenye jengo lenyewe. Nilikuwa nimemaliza kujenga lkn sikuwa tena na hela za bati.

Kwa vile ni nyumba ya kuishi,sikuwa na haraka nayo. Lkn alipoiona na nikamueleza jinsi nilivyo na hali mbaya,kuimaliza itachukua si chini ya miaka 3. Akaniahidi akirudi atanitumia hela kidogo niezeke. Baadae tukatoka si unajua tena hatukugombana ki-vileee! Haikuwa rahisi kuachana hivihivi. Tukaenda kukumbushia.

Jana alinipigia simu akaniambia leo atanitumia hizo hela. Kweli nimepokea leo milioni 3. Kwakweli nimekosa hata maneno mazuri ya kumuelezea shukrani zake kwangu. Kesho pia ataingiza km hizo. Npo na fundi hapa hivi sasa ananipigia hesabu ya mbao na bati.

Kumbe yale maneno ya mpnz au mchumba hasomeshwi,hayana ukweli. Wale mnaosomesha fungeni mkanda tu inalipa...!

Nawasilisha.

Inaonekana ulipigwa vizur Sana enzi hizo ndio maana kakuhurumia pole yako..!
 
Hilo mbona nimekiri. Siwezi kuficha hapa,hata yeye anajua nilivyomhudumia na anachokifanya binadamu yeyote anaweza kukifanya. Nilipigwa sana mkuu...!
 
Back
Top Bottom