Sahihisho: habari yapaswa kuwa KAFU +CCM waibwaga CDM Nyamagana.
last week RAIMWEMA liliandika.....
HUKU kikiwa na mvutano wa ndani na madiwani wake wawili kiliowafuta uanachama, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakabiliwa na mtihani mzito katika kutetea nafasi Meya...
Sahihisho: habari yapaswa kuwa KAFU +CCM waibwaga CDM Nyamagana.
last week RAIMWEMA liliandika.....
HUKU kikiwa na mvutano wa ndani na madiwani wake wawili kiliowafuta uanachama, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinakabiliwa na mtihani mzito katika kutetea nafasi Meya...
kama anaubavu aagize uchunguzi ufanyike juu ya ucheleweshaji wa kuweka luku kwa watu ambao wamelipia zaidi ya miezi 6. Na kwa nini ruku zipo za mafungu mafungu.
Aulize nani amepewa tenda ya Kusambaza ruku?
na nini kwa nini inachukua zaidi ya miezi sita kuweka umeme kwa mtu na...
Wakili maaruf sana wa serikali marehemu Bonifase Stanslaus amefaliki ghafla jana. Habari kutoka kwa ndugu wa karibu zinasema alipatwa na mshituko ghafla na kufariki mara baada ya kutoka arusha kikazi.
wakili Bon alikuwa ni KICHWA cha AG Chambers na naibu DPP. Yeye ndo wakil wa kesi zote...
ndugu zangu mnaoanzisha propaganda za chadema na rostam tujitahid kufikilia nje ya mabox ya ukada. Wanachofanya CDM ni kuchangisha hela kwa njia raisi zaidi na ya uhakika. Rostam hajachangia at any tm chadema. Na wewe unayesema tunamtumia kampuni ya rostam wewe utumii M pesa,? Na kama...
uteuzi wa kikada unamatatizo mengi kwa leo naomba nizungumzie mafao ya makuu wa wilaya.
mafao yao uitwa gratuity ambayo ni idadi ya miezi kadhaa mara mshahara wa mkuu wa wilaya husika.
mishahara hii imeanishwa kwenye sheria na ipo wazi. Lakini kuna wakati mtu uteuliwa kuwa mkuuu wa wlya...
mkuu download attachment ya sheria ya muungano. inarudia yote yaliyosemwa katika mkataba huo kwa kiingereza na ni sehemu ya sheria za Tanzania na huko imesainiwa na speaker wa bunge. so hii document ni sahihi kabisa
Brother Willy take your time to understand the legal set up and role of CAG Momentary.
kwa ufupi tembelea web ya www.nao.go.tz.
kazi kubwa ya CAG ni kudhibiti matumizi ya fedha za umma. Ambapo utoa kibali kwa niaba ya bunge serikali itumie fedha kama bunge lilivyopitisha.hii ndo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.