Mahakamile ile ilompa ushindi wa Ubunge, kumbuka hawa watu wamemfanyika mabaya haya wakati wa kesi yake hivyo counterclaim inaruhusiwa kisheria hata kama.. badala ya Lissu kulalamika magazetini akitoa tuhuma nzito kama hizi.Mahakama zipi mkuu unazozirejea!
hizi za majaji kama yule wa mahanga, au lema. hakuna mahakama yenye kuheshimika hapa tz.
Binafsi yangu ningemshauri yeye kama mwanasheria kwanza angepeleka madai haya ktk sheria. Hivyo kuweka uwazi wa malalamishi yake ktk ule msemo -Walk the talk kisheria maana kusubiri bunge ndio apeleke malalamishi ambayo yanahusu kesi ya ubunge wake hapo inakuwa hatafuti haki yake ila pengine kuunda sheria mpya..Majibu ya haki yake hayawezi kabisa kupatikana bungeni, Mh. Pinda ataweza vipi kutoa majibu ktk kesi ambayo haihusiani naye hata kidogo..