Fursa kwa wafanyabiashara kusafirisha mizigo yako kutoka dsm kwenda mikoani.
Sapphire cargo transportation kampuni iliyosajiliwa kusafirisha mizigo mikubwa na midogo mfano, simu,
saa,
nguo,
kava za simu,
vitanda na Madawa
Gharama zetu ni nafuu na utapokea mizigo yako kwa wakati,kubwa kulko ni...
Basi ilo linalofanya safari zake kati ya mwanza kwenda musoma limepata ajali asubuhi ya Leo kwa kutumbukia kwenye daraja la simiyu
Taarifa mpaka sasa ni kondakta na watoto wengi wamekufa kutokana na kuzama kwa basi hilo na shughuli ya uokoaji unaendelea.
Basi ilo linafanya safari zake kutoka Singida kuja DSM limepata ajali maeneo ya Chinangali kwa kugongana uso kwa uso na lori.
Hali ya majeruhi sina idadi kamili ila kifo mpaka sasa ni kondakta.
Taarifa zaidi wataleta watu wenye mamlaka.
Basi ilo linalofanya safari yake kati ya Dar es Salaam kwenda South Africa limepata ajali eneo la Kabwe (Zambia)
Taarifa zaida wataleta wahusika wa kampuni.
Ajali imetokea jioni hii Mkoani Arusha maeneo ya Duka bovu ikihusisha basi la Kampuni ya Loliondo Coach na gari ndogo,
Ajali iyo imetokea baada ya basi ilo kugongana uso kwa uso na gari aina ya Harrier
Taarifa zaid wataleta mamlaka husika
Basi ilo linaofanya safari zake Kati ya mwanza kwenda kahama limepata ajali Leo kwa kugongana uso kwa uso na gari ndogo.
Chanzo cha ajali na hali ya majeruhi watatoa wenye mamlaka husika ila mpaka sasa kuna kifo kimoja cha dereva wa gari ndogo.
Mzee ebu acha kukaza fuvu 98% ya mabus ytu hayana bima ya kulipa mtu au bus kulipwa wengi wanakata 3rd part bima ambayo bei yake haifika hata laki 2 sasa ukate bima ya laki 2 alf ulipwe bus la milion 500
Basi la kampuni ya Frester Road Ways limepata ajali maeneo ya katikati ya Gairo na Kiyegea, limegongana uso kwa uso na lori.
Taarifa za awali ni kuwa dereva wa basi alikuwa anataka kuovertake bila kuchukua tahadhali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.