Basi la Happy Nation lapata ajali Mikese

Basi la Happy Nation lapata ajali Mikese

Huyu atakuwa aliovertake akakutana na Lorry ikabidi akabiliane na miembe tu maana uso kwa uso ni msala.
 
Muhuni kauvaa mti bado tunatafuta chanzo cha ajali? Mwendokasi ndio chanzo madereva huwa hawajui kuwa bus linaweza kupaa kutoka nje kabisa ya bara bara akifanya uzembe kidogo tuu..
 
Mungu kawaua
MnachoKishangaa nin ... Mungu kapindua gar kawaua waliokufa waliovunjika ..huo n mpango wa Mungu
Yeye ndiye muweza wa yote na amejua Happy nation itapinduka miaka elfu isiyohesabika iliyopita Kiranga
c1f4683e4e57f33b29f517761fa10c74.jpg
 
Wenye kampuni za mabasi asalimia kubwa ni majanga

1. hawafanyii madereva wao uhakiki kujua Kama wamekidhi vigezo vya kubeba abiria

2. Hawaajiri madereva wa kutosha ili kusaidiana katika safari ndefu .

3. Hawafanyi service katika mabasi Yao na kujali faida zaidi .

4. Hawaweki ratiba ya mabasi Yao ya kuondoka na kufika ( Scandinavia pekee ndiyo alifanikiwa ), kutoweka ratiba kunachangia madereva wahuni kuendesha kwa kasi kwa kigezo cha kuwafurahisha wapiga debe wakati basi likifika la kwanza kwa gharama ya kuhatarisha usalama wa abiria .
 
Kuna member humu alikuja na uzi kuwasihi mamlaka wasitishe safari za usiku.
Alitukanwa sana hapa.

Wacha tujionee sasa.

Hiyo picha jamaa kauvaa mti, that is fatigue...alikuwa kasinzia huyo.

Kwenye hizo ajali sijasikia iliyoripotiwa kutokea usiku?
Zote zimetokea asubuhi au niseme muda wa kawaida wa mabasi. Nafikiri muhimu hapa ni kuwa na madereva sahihi barabarani na ule muda wa kuendesha masaa sijui 8/10 kwa dereva ufuatiliwe bila kujali ni mchana au usiku kuepuka fatigue
 
Zote ni bus za usiku
 
Back
Top Bottom