Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,324
- 62,210
Unalipwa kutokana na madhara uliyopata broWanalipwa kiasi gani mkuu ili nifananishe na malipo ya sehemu zingine tunazotembea...
Unalipwa kutokana na madhara uliyopata broWanalipwa kiasi gani mkuu ili nifananishe na malipo ya sehemu zingine tunazotembea...
Inabidi tuifanye hii labda makampuni yatachunga madereva wao.Zambia au Zimbabwe bus zinavyopata ajali hapa Tanzania kule utakimbia Kampuni yako maana gharama za Hospital zote zipo juu yako bado uwalipe tena hapa wahanga wanajiudumia wenyewe ndio maana kila kukicha ajali za kijinga jinga harafu utasikia sijui Kampuni fulani imefungiwa hakuna kitu inatakiwa Watoe pesa kwa Wahanga na Bima zao zifanye kazi kwa walioumia huu upuuzi wa ajali za bus kugonga Fusso tutazisikia kwa nadra sana...
Nachojua wanalipa kidogo sana tofauti na sehemu zingine nazozijua mtu akipata ajali hela anayolipwa ni nyingi sana...Unalipwa kutokana na madhara uliyopata bro
Hahahaha hizo ni stor tu mara ngapi tunaona watu wanaomba msaada kutokana na ajali zinazotokea ili wapate matibabu.Wahanga wa ajali huwa wanalipwa na bima
Ni uelewa watu hawana uelewa wa haki zao hata wewe pia inaonekana hauna uelewa kwanzia sasa unatakiwa ujue una haki yako na watu wengi tu wanalipwa, hata kama ndugu kafia kwenye bus familia yake kuna hela wanalipwa na bima.Hahahaha hizo ni stor tu mara ngapi tunaona watu wanaomba msaada kutokana na ajali zinazotokea ili wapate matibabu.
Sikukuu Zina nini?uzembe alafu usingizie sikukuu?Hizi sikukuu sio poaa
Sheria nzuri sana, tatizo huku kwetu matajiri wakubwa wa mabasi ndio hao wanaosimamia sheria.Zambia au Zimbabwe bus zinavyopata ajali hapa Tanzania kule utakimbia Kampuni yako maana gharama za Hospital zote zipo juu yako bado uwalipe tena hapa wahanga wanajiudumia wenyewe ndio maana kila kukicha ajali za kijinga jinga harafu utasikia sijui Kampuni fulani imefungiwa hakuna kitu inatakiwa Watoe pesa kwa Wahanga na Bima zao zifanye kazi kwa walioumia huu upuuzi wa ajali za bus kugonga Fusso tutazisikia kwa nadra sana...
Yap hilo bus lililopata ajali baada ya mwezi mmoja utalikuta bara barani huko Zimbabwe ni hatari pana jamaa Mtanzania alikimbia Kampuni yake baada ya Bus moja kupata ajali na ndio ikawa mwisho wa biashara ya usafirishaji maana watu walimwambia hapa ni kazi sana Bus likipata ajali hakuna janja janja yeyote hakuamini kilichotokea...Sheria nzuri sana, tatizo huku kwetu matajiri wakubwa wa mabasi ndio hao wanaosimamia sheria.
Sasa hapo huwezi sikia sheria ya namna hii inatungwa.
Malipo kma gari ipo na bima kubwa ila bus zetu hazina bima kubwa ni 3rd part tuu hata wao hawalipwi sh 0Wanalipwa kiasi gani mkuu ili nifananishe na malipo ya sehemu zingine tunazotembea...
Sio kwl mkuu mpk kampuni iwe imekata bima kubwa 98% ya bus zetu bima zao ni zile za laki 60 mpk 80 yan 3rd part haulipwi walk kampuni hailipwiNi uelewa watu hawana uelewa wa haki zao hata wewe pia inaonekana hauna uelewa kwanzia sasa unatakiwa ujue una haki yako na watu wengi tu wanalipwa, hata kama ndugu kafia kwenye bus familia yake kuna hela wanalipwa na bima.
Kama hujui na haufatilii ndo imetoka hiyo hakuna atakae kufata akwambie njoo tuna hela yako bima wanakukaushia hadi ujue haki zako
Tatizo la kutokutaka kujua haki zenu ndo linawaponza hakuna tajiri ambae halipwi gari yake ikipata ajali, anafanyiwa makadirio kulingana na bima yake na analipwa labda bus za huko vijijini ndani ambazo hazina bima na hata hizo ambazo hazina bima ikitokea umepata ajali mwenye mali anatakiwa kuwajibika kukulipa fidia hilo siyo ombi, na ndo maana matajiri wa gari za abiria wanakatia bima gari zaoSio kwl mkuu mpk kampuni iwe imekata bima kubwa 98% ya bus zetu bima zao ni zile za laki 60 mpk 80 yan 3rd part haulipwi walk kampuni hailipwi
Panda treni!Mbona tutaogopa hata kusafiri asee🤔
Vipi chopa ya +255 ya katiba mpya na tume huru?V8 ziende hapo chap
Hiki ndio nakijua mtu ana bus nyingi ukipiga hesabu ya Bima kubwa ananunua Bus lingine pana jamaa hapo juu kaniambia wanalipwa kama vile mimi nipo Bara lingine ndio nikamuuliza wanalipwa kiasi gani?Malipo kma gari ipo na bima kubwa ila bus zetu hazina bima kubwa ni 3rd part tuu hata wao hawalipwi sh 0
Mzee ebu acha kukaza fuvu 98% ya mabus ytu hayana bima ya kulipa mtu au bus kulipwa wengi wanakata 3rd part bima ambayo bei yake haifika hata laki 2 sasa ukate bima ya laki 2 alf ulipwe bus la milion 500Tatizo la kutokutaka kujua haki zenu ndo linawaponza hakuna tajiri ambae halipwi gari yake ikipata ajali, anafanyiwa makadirio kulingana na bima yake na analipwa labda bus za huko vijijini ndani ambazo hazina bima na hata hizo ambazo hazina bima ikitokea umepata ajali mwenye mali anatakiwa kuwajibika kukulipa fidia hilo siyo ombi, na ndo maana matajiri wa gari za abiria wanakatia bima gari zao