Recent content by Mitihani

  1. M

    How to make your relationship last forever

    Kweli tupuuuuu I like it.
  2. M

    Jiepushe kurudiana na mpenzi wako zamani

    Nimeipenda sana hii mada. Kinachotakiwa ni kuhakikisha mnaweka mambo yenu sawa kila mnapokorofishana msisubiri mmeshaachana ndo mnaitana na kufanya sululu. Kamwe nasema kamwe usiachane na mtu kwa kujaribu wakati unampenda. Mkishaachana tu kurudiana inakuwa hadithi nyingine ngumu sana. Kwahiyo...
  3. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
  4. M

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Pokea huu ushauri ni kweli tupu.
  5. M

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Safi sana nimeipenda hii
  6. M

    Kwa wazazi na walezi: Mada maalum ya watoto

    Unawapa nini sasa wakiwa chini ya miaka 2 mfano Lizzy
  7. M

    Katika hili nashindwa kumuelewa mke wangu

    Hii nzuri sana nimeikubali kabisa. Kinadada omba lift kama rafikiyo akiwa peke yake akiwa na mumewe hapana.
  8. M

    Katika hili nashindwa kumuelewa mke wangu

    Dada wa lift ni kutumia busara yake tu hapo. Jambo kama hilo si la kusubiri kuambiwa njia nzima na foleni hizi asubuhi na jioni kama mke na mume mnaongea nini? Kukaribisha vishawishi tu hapo. Mkeo yupo sahihi kabisa.
  9. M

    Natafuta kiwanja Morogoro mjini

    Kipo kiwanja nanenane kimepimwa kina hati na kimejengwa nyumba hadi madirisha. Nyumba kubwa ya vyunba vinne master 2 moja ni kubwa sana sq meter 900. Bei million 30. Karibu.
  10. M

    Nahitaji kujiunga na chuo cha ualimu

    Kwanza pole na kuondokewa na mzazi wako. Umeamua vyema sana. Sifa unazo ndugu yangu. Kama utataka kwenda chuo cha kulioia ni rahisi zaidi. Chuo kama st John pale buguruni wanatoa diploma ya primary education kwa yeyote mwenye pass 4 za form 4. Kama upo Dar nenda pale chuoni kaulizie wakuelekeze...
  11. M

    Msaada: kuitwa bungeni kwa nafasi ya secretary

    Aende bungeni akifika kule atabadili kada kwa chochote baada ya kujiendeleza. Kikubwa awe tayari kaingia kwenye system ya watumishi wa bunge then kama hapendi.kuwa sectretary baada ya kuthibitishwa kazini anafanya mchakato wa kubadili kada.
  12. M

    Mke wangu kakutana na EX wake tukiwa pamoja, kafurahi hakuna mfano!

    Hapo kosa lipo. Huyo mke kumkumbatia ex wake mbele ya mumewe ni kosa. Hapo anaamsha hisia kabisa na kwa mazingira hayo ni rahisi kukumbushia. Ikinbie zinaa kimbia vishawishi. Ila hilo mwaweza kukaa chini na mkaliongea na litaisha. Kama unaipenda ndoa yako mwambie mkeo kila kitu alivhokwambia...
  13. M

    Wamembaka mke wangu, nimeona niachane nae tu

    Pole sana kakangu. Uamuzi wa kumwacha au kiendelea naye hapo sikiliza moyo wako maana hicho ni kitu kikubwa kwa kweli ukizingatia mazingira ya kwenda huko bila kukushirikisha lakini kama ukiamua kumsamehe na kuamua kuishi naye jua atakuheshimu sana na kukuthamini mno. Utakuwa faraja kubwa sana...
  14. M

    Dada wa Kazi amuambukiza mtoto wa miaka mitatu UKIMWI

    Pole. Mwachie Mungu atahukumu.
  15. M

    Dada wa Kazi amuambukiza mtoto wa miaka mitatu UKIMWI

    Yaani hata kama asingemwambukiza ukimwi. Kwanini afanye hivyooo binadamu ni mtu wa kuogopwa sana ukikutana na mkatili ni mkatili zaidi ya mnyama. Sijui adhabu gani anastahilii. Kuna sehemu niliwahi sikia mtoto wa miezi 8 alikuwa anashindishwa na njaa ili asikie njaa alafu anamnyonyesha...
Back
Top Bottom