Samahani mm mgeni humu ndani sijui km nimepost sehemu sahihi.
Nahitaji msaada km kuna mtu ana kiwanja Morogoro mjini kwa ajili ya kujenga nyumba ya kawaida tu, (aniuuzie isiwe nje sana ya mji mfano ikiwa 7 to 8 km from ofisi za manispaa ni vema zaid). Pia nahitaji nyumba ya kupanga Morogoro mjini pia iwe ya familia moja au km kuna familia nyingine basi kusiwe na kuchangiana..sifa za nyumba iwe na 3bedrooms.sitting room.kitchen na iwe na fensi pia parking.Asnteni