Sia Mallya
Member
- Nov 30, 2015
- 17
- 8
Poleni na majukumu wadau, samahani naomba kupata ushauri , kuna kijana ameajiriwa halmashauri ya wilaya Fulani kama afisa ushirika na ameanza kazi mwezi uliopita mwaka huu, ila aliwahi fanya interview bungeni kwa post ya secretary mwanzoni mwa mwaka huu, nao wamemwita areport kazini 7/12/2015,anaomba ushauri , he aendelee na kazi ya awali au aende kuwa secretary bungeni, na hiyo ya bungeni qualifications ni form four, ushauri please, asanteni sana