wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
kama ni mwanaume uwe mtoaji wa pesa na mambo kama hayo
Lol nilitaka kushangaa miss chagga usigusie pesa
kama ni mwanaume uwe mtoaji wa pesa na mambo kama hayo
pesa tamuLol nilitaka kushangaa miss chagga usigusie pesa
muhimu kujifunza kushuka.omba msamaha pale panapoitajika.. usiwe mfukunyuku wa kujua madhaifu au ubaya wa mwenzio jitahidi kutafuta uzuri we mwenzio zaidi... kama ni mwanaume uwe mtoaji wa pesa na mambo kama hayo
ila ndiyo ukweli pesa ndiyo usukaniHahahahahahahaaha.....miss chaga kwenye ubora wako wa pesa kama messi
Nilitaka kushangaa utoe maneno matupu?...usingetoa ushauri wa mapenzi pesa bado ushauri wao ungekuwa haujajitosherezamuhimu kujifunza kushuka.omba msamaha pale panapoitajika.. usiwe mfukunyuku wa kujua madhaifu au ubaya wa mwenzio jitahidi kutafuta uzuri we mwenzio zaidi... kama ni mwanaume uwe mtoaji wa pesa na mambo kama hayo
ila mkuu ndiyo ukweliNilitaka kushangaa utoe maneno matupu?...usingetoa ushauri wa mapenzi pesa bado ushauri wao ungekuwa haujajitoshereza
ila ndiyo ukweli pesa ndiyo usukani
Hofu ya Mungu ina mambo mengiii..thats one of those!atleast am getin it from u..kuvumiliana
Aaahhhaaaa.... yaani wewe , mmhmmm ..ahhaaaa.. Thanks....hautakufa kwa ngoma ila italea watoto wa watu wanaotumia jina lako
Kweli tupuuuuu I like it.Mapenzi ni two ways direction. Give and take.... baaaasi.
Kama unataka usichitiwe, usichiti
Unataka kupendwa sana, penda sana
Oneaneni huruma
Peaneni moyo
Kusiwe na siri baina yenu
Lindaneni na maradhi
Support each other...
Na kubwa zaidi..... Be best friends. Mwisho wa matatizo na happy ever after
Kwa nini yalast forever.....?......
Nothing lasts forever. There u go[/Q
haha persimistic
u are right mkuuHofu ya Mungu ina mambo mengiii..thats one of those!
ndeeefu but ts a peace,,,a wonderful oneMahusiano yenu wawili yanaweza kudumu milele na milele iwapo
1) wote wawili mtaamua kuwa waanzilishi wa ugomvi ni sisi na wasuluhishaji ni sisi . Hivyo wote mkiwa na nia ya pamoja na kujua ni nyie wenye mamlaka hayo basi kutakuwa na uelekeo mmoja
2) Ikiwa wote wawili si wabinafsi : Namaanisha kila mtu afurahie ukuaji wa mwenzake kimaisha, kimaslahi, kimapato na kila mmoja awe tayari kujitoa kwa mwenzake pasipo kinyongo. Kwa mfano kwenye ndoa mmoja anaweza akawa na malengo ya kujiendeleza kielimu (na hili la malengo ni vema mkawa mnashare mapema siyo surprise leo unakuja na kusema next week naanza masters so sitakuwa na hela) , now katika kujiendeleza huko itampasa mmoja ashuke ajinyime maana anayesoma atakuwa na muda mdogo nyumbani na pengine kipato kitapungua kwa muda. Yampasa msomaji pia aelewe kuwa kwa yeye kujiendeleza kuna mmoja amesacrifice kwa ajili ya maendeleo ya wote. Na nadharia nyingi kama hizi ila kikubwa kumpa nafasi mwenza wako akue , astawi nk
3) Mahusiano huwa matamu iwapo kuna mawasiliano ya kila mara: wapenzi kamwe hawawezi kuingia kwenye mgogoro mkubwa iwapo kuna mawasiliano na urafiki. Ongea na mwenzake unawaza nini, unapanga nini, wapi ukosolewe nk. Na kumbuka mawasiliano ni pamoja na kusikiliza sio mmoja kudominate maongezi la hasha bali ni two way communication. Ongea iwapo unachelewa sehemu, Ongea iwapo una changamoto shuleni au kazini , ongea kama una hitaji la kiroho nk
4) Ukweli: Wapenzi wanaoambiana ukweli hudumu sana . Ukweli huuma wakati mwingine ila kukiwa na uwazi hujenga mazingira mazuri ya kukua .
5) Kuchukuliana : Kila mmoja ana mapungufu mengine hayaishi mapema na mengine hayaishi kabisa . Kwenye urafiki uliyaona haya ukaingia kwenye mapenzi sasa ghalfla unakuwa wewe unamsimanga mwenzio kutwa nzima. Mchukulie na jihesabu kuwa pungufu la mwenzako ni lako , fadhaa ya mwenzio ni yako. Mfano: unajua mwenzio ana tatizo la kukoroma , msaidie usimuhame na kumsema na kusimulia wengine. Tafuta suluhu je mfanye mazoezi, je mumuone daktari , au je mbadili aina ya godoro na mengine yafananayo na haya
6) Ubunifu na suluhisho na mbinu unavyo wewe: Dunia ya leo ya digitali vijana wengi hudanganywa mitandaoni oh ooh ukitaka mwanamke akupende kuwa mkali, ooh ukitaka mwanaume atulie fanya hivi: The thing is there is no standard formula to success . Customize all things depending on your partnership. Wewe unamjua mpenzi wako anapenda nini, anakula nini , anasikiliza nini , anapaka nini, anavaa nini hivyo work on those - Na usimfananishe mpenzi wako na story za mitaani.
7) Usikimbilie kuropoka na kusimulia: Pamoja na kuwa watu hupata suluhisho kwenye mitandao na marafiki ila wengi hupote kupitia humo. Wewe una changamoto ndogo tu pengine kwa sala na kujitathmini unaweza kuitatua ila kwa kuwa kuna facebook, watsup , nk basi kila kitu unaomba ushauriwe na marafiki. Jamani akili tulizopewa na Mungu na utashi wetu tukitulia tunaweza mengi na makubwa . We own the power to our lives. Hata mganga hana nguvu zaidi yako. Hata Mungu anasubiri your will power and faith to act on your problem. Inakuwaje (hawa wanawake) kila siku kuanika matatizo ya ndoa na mahusiano yao? Mume haachi hela za matumuzi naomba ushauri? Sasa watakushaurije wakati wewe unajua nature ya maisha na kipato cha mwenzio, changamoto zenu ni nani hasa mtandaoni unampa nguvu ya kukisia suluhu gani itafaa ? Kumbuka ukianika tatizo la mwenzio umejianika mwenyewe. Mtu mwenye busara hata amfumanie mumewe/ mkewe hawezi kuanika picha au kesi hiyo kwa marafiki au ndugu zake labda kwa mshauri wao wa ndoa au kiongozi wa kiroho. Kwa wakristo watakumbuka agizo la upendo kwenye wakorinto 13 : Upendo haufurahii mabaya -meaning huwezi kuwa na amani kutangaza ovu la mwenzako kama limekushinda ita mtu wa busara mumuonye sio kuweka hadharani . Unavyoanika unawapa marafiki nafasi ya kukucheka wewe na si yeye . Unawapa maadui nafasi ya kukumaliza si wanajua madhaifu ya mwenzio .
8) Samehe na Omba msahama: Kuna usemi wa kiingereza usemao "To err is human, to forgive divine" hivyo samehe na usikumbushie. Kama mwenzio haombi msamaha mwambie umenikosea hiki na hiki na nimekusamehe . Ataona aibu next time ataomba msahama. Usitumie kosa la mwenzako kama kisu cha masimango . Amekosa basi unamyima hiki, amekosa basi huongei nae . Pia jifunze kupuuzia vitu vidogo ambavyo havina madhara kwako la sivyo utakuwa mtu wa gubu saa zote .
9) Muombee na Muombe pamoja: Simaanishi wasio na imani hawawezi kuwa na mahusiano matamu kwakuwa hawaombi la hasha wanaweza na wengine wanaongoza ila kama mnaamini kwa imani Fulani basi jenga desturi ya kumuombea mwenzako na wakati mwingine muombe pamoja na umweleze na muulize unapenda nikuombee nini leo and be sincere usiseme unamwombea kumbe wala go before God and speak from your heart about your friend / fiancé/ spouse. It works miracles
10) Epuka ya vijiweni/ mtandaoni/ mitaani: Unapoamua ndoa na mahusiano ni yenu usiyumbishwe na ya wengine. Watakuuliza watu ooh kwani kuoa lazima uwahi kula nyumbani- wajibu kwa upole na kuwa mtu wa msimamo . Kama unatongozwa na kuchekwa kuwa kwani kuoa/kuolewa huwezi chepuka kidogo. Kuwa na msimano usiyumbishwe .
11) Kuwa na msimao sehemu ya kazi/biashara/masomo: Ndoa na mahusiano mengi yamevurugikia kwenye mazingira haya. Kumbuka unatumia muda mwingi kazini au kwenye biashara. Epuka kujenga urafiki na uhusiano wa karibu na jinsi nyingine . Limit mawasiano yako yawe ya kazi. Kama mfanyakazi anavuka mpaka na kuanza kutuma message za kimapenzi , anakutest kuona msimamo wako- unapokaa kimya atahisi unapenda , unapochekelea atahisi unapenda , weka msimamo na mwambie samahani sipendi haya mawasiliano utaheshimika. Wewe mtu sio mke wako anakutumia message usiku mwema, nakupenda? na wewe unachekelea tu , kesho anakutumia message hapo hapo kazini umeshakunywa chai? bado unachekelea? keshokutwa anakutumia watsup ya utupu unacheka? are you serious? Je mkeo akikuta message kama hii si ni ngumu kuanza kueleza kuwa wewe ni msafi. Weka msimamo kuwa you don't entertain nonsense and trust me people wont play with you.
12) Vitu vidogo hujenga/Small things matter: Mwenzako kapendeza mwambie , mwenzako amefanya kazi kwa bidii kanunua kitu kwa ajili yenu sema asante. MWenzako ana jaribu mkumbushe unampenda na unamtakia heri . Mwenzako amechoka mfanyie massaje ya mgongo. Kumbuka familia yake, kumbuka mambo yake muhimu . Kama kipato kinaruhusu mpeleke dinner .
13) Kina mama msiweke pesa mbele: Kuna kudanganyana kwingi kumeingia kuwa mwanaume mwenye pesa ana mapenzi . Pengine tungesema mwanau mwenye elimu na kazi inayomletea kipato anaweza kumudu maisha. Kwa kudanganyana huku wengi wameishia kuwa disappointed. Wanadanganyana kuwa mwanamke ukifanya kazi usitoe hata senti tano- Biblia inasema utafanyika kuwa msaidizi sio tegemezi. Na kitabu cha mithali kinaelezea mke mwema kuwa humsaidia mumewe kutafuta sasa sijui kwa nini dunia ya leo imejaa kina mama wanaofundisha wenzao kuwa wachoyo. Ni raha sana kusaidiana hata kama cha mwanamke ni 1/10 ila yaonyesha mko pamoja.
Mwisho kabisa napenda kusema mahusiano kudumu muda mrefu yanawezekana sana . Yahitaji a good attitude and two committed people working towards a common goal .