Recent content by Miti Mingi

  1. M

    JamiiForums Tanzania VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

    dk 43 young 1-1stand united
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Kweli kanisa la Gwajima ndo lenye waumini wengi Tanganyika?

    Umepataje data kuthibisha ukweli,au unamanisha kwa dsm tu?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo kutohojiwa na Tume ya Maadili

    hata kama hii issue ilishapita tunaka kujua uhalali wa profesa kuondolewa,kasimamia vizuri sana umeme vijijini kwa nini tusiseme ni jembe
  4. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo kutohojiwa na Tume ya Maadili

    wanajamvi mleta mada kawasilisha mada vizuri basi jengeni hoja na sio kutoa lugha za matusi, kama huna hoja kamya
  5. M

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA, Zitto Kabwe ahamia rasmi ACT Tanzania

    sio kweli akasahaulika kama unavyosema
  6. M

    JamiiForums Tanzania VPL: Simba SC Vs Azam FC

    mwenye matokeo ya mtibwa sukari wametokaje?
  7. M

    JamiiForums Tanzania VPL: Simba SC Vs Azam FC

    anayejua matokeo halisi kati ya simba v azam atujuze
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    asante sana mkuu nimejifunza kitu kikubwa sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Eti ni kweli kampuni ya forever living inahusishwa na Freemason?

    mwenye uelewa wa hii biashara tunaomba msaada wako kwa mchanganuo mzuri
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kamati Kuu kukata jina la Lowassa

    chaguo la raisi 2015 ni kutoka mwenyezi mungu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    bwana marcossy A.M kama nimekupata vizuri adhabu ya kifo inayozungumzwa ni ile umepelekwa mahakama na imedhihirisha kweli ulitenda kosa,na ukahukumiwa adhabu ya kifo,na sio kumchoma mtuhumiwa moto kama ulivyosema huko ni kujichukulia sheria mkononi.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Adhabu ya kunyonga hadi kufa imepitwa na wakati?

    kama wangekua wanatekeleza adhabu hiyo basi maovu yangepungua kwa kiasi kikubwa sana
Back
Top Bottom