gaspar kauki
JF-Expert Member
- May 17, 2014
- 578
- 194
Okwi anapelekwa bugando
sio mwimbili?
Okwi anapelekwa bugando
nadhani kama simba angeshinda ingekuwa njema...Wastara hazumbuki wa mbili havai moja. Simba 1-1 Azam.
Azam 3:1 mikia
team yanga.
Hapa nini ubabe tu, watu wanapigana mabuti mbele ya refa.
Refa ameshindwa kumudu mchezo, maskini soka letu.
sio mwimbili?
anayejua matokeo halisi kati ya simba v azam atujuze
mikia mbona mmekimbia
simba wana bahati