VPL: Simba SC Vs Azam FC

VPL: Simba SC Vs Azam FC

Simba bado saana

Ndemla leo hakuwa kwenye form timu ilikosa nguvu katikati

kwa ujumla timu haiwezi cheza dakika 90
ikifika dakika 60 tu wote hooi...

beki ni kama yupo mmoja tu Isihaka

sub hakuna wapo wachovu tu kama kisiga

kipa bado anafanya mistakes za kitoto kabisa
 
aahaaa siji kuwalaumu tena watangazaji mpira azamtv twalib omari muwa na nurdin selemani wakati yanga inapocheza wanaikebehi sana kumbe ni mashabiki wa simba leo walikuwa wanaikebehi azamfc hata hivyo ajira tu ilikuwa inawabana
 
Kiwango cha Azam fc hakiendani na huduma na matunzo wanayopewa!! Cha kawaida mnoooo.
 
Mtibwa 1 Ruvu Shooting 2
Coastal 1 Stand 0
Ndanda 2 Kagera 1
 
Azam walijaza midifield wanne na Kipre akawa wa Tano akishuka kuchukua mipira, lazima upotee hapo and I cam imagine still kulikua na akina Brian Majwega, Amri Kiemba na Sure Boy (ambaye huenda amefungiwa baada ya mechi ya Yanga) nashawishika kuamini Azam ni timu ya viungo, hapo lazima upotezwe ndugu yangu
Simba bado saana

Ndemla leo hakuwa kwenye form timu ilikosa nguvu katikati

kwa ujumla timu haiwezi cheza dakika 90
ikifika dakika 60 tu wote hooi...

beki ni kama yupo mmoja tu Isihaka

sub hakuna wapo wachovu tu kama kisiga

kipa bado anafanya mistakes za kitoto kabisa
 
Juuk alicheza mpira isipokuwa wale full back wote wanacheza kitoto sana, Shabalala naona kashaanza kuota mapembe hata na yeye analaumu wenzie siku hizi
Simba bado saana

Ndemla leo hakuwa kwenye form timu ilikosa nguvu katikati

kwa ujumla timu haiwezi cheza dakika 90
ikifika dakika 60 tu wote hooi...

beki ni kama yupo mmoja tu Isihaka

sub hakuna wapo wachovu tu kama kisiga

kipa bado anafanya mistakes za kitoto kabisa
 
matokeo ya leo huenda yalikua mazuri sana kwa Yanga lkn nadhani ligi bado sana
 
Back
Top Bottom