Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,642
- 55,265
Inabidi tuvumilie tu ili tuvuke huu mwaka salama
Mimi sio fisadi bali wewe ndiekuwadi wa mafisadi kama huyo professor wako,na tutaendelea kuwaambia ukweli nyie makuwadi wa mafisadi uchwara,kalalamike kwa raisi wako ambaye ndie aliyemteua na kumtosa,shukuruni Tanzania sio China,saa hizi mngekuwa mnasaga meno,pelekeni ujinga wenu nyumbani kwake huyo mnayempigia kelele kila kukichwa ,ni aibu kwa wanaume wazima kuja kushupaa hapa kwa mambo ambayo hayawezi kurudiwa tena,Muhongo keshakuwa historia mpenda au msipende tumeshamsahau,cheo ni dhamana,wala Muhongo hakuzaliwa waziri ,uwaziri ameukuta na ile wizara ipo hata kabla hujazaliwa kwa hiyo acha kulilia hapa.[/Q
Hahahahhhaa ungemsahau.ungekuja hapa kuandika upuuzi usio na.ushahidi, unalikubali kuwa lile ni jembe, asiyepokea rushwa, alijiuzulu ili muendelee na shughuli za maendeleo mana kila kukicha hamtaki.kwenda kazini kisa mnazooooooooza kuhusu MUHONGO, the future leader of our country,. Ok endelea kutoa stress zako kwenye hii thread
Hah hah hapa ni stress free zone ndugu,endeea kuota ndoto za alinacha.
mtoa mada acha ushabiki wa kijuha. muongo hakuchukua fedha lakini zilichotwa kwenye wizara aliyokuwa akiiongoza na alikuwa mstari wa mbele kutetea wezi. hapo kosa lake hujaliona? notorious twit!
Unayesema muhongo kaujumiwa umevurugwa tena utakuwa yaleyale majizi ya c.c.m
Benki ya Mkombozi haikutuhumiwa kwa kosa la kutakatisha pesa ndugu. Pesa iliyopitia pale ni malipo halali ya Rugemalira yaliyotokana na mauzo ya hisa zake kwa PAP.Bank ya mkombozi ilihusika kutakatisha pesa haramu na kamati ya bunge ilitaka ichukiliwe hatua, lkn mbona kimya ...
Siasa za Tanzania ni za hovyo kwa kukumbatia watu wasiowaadilifu ndani ya siasa name hawa ndio wanaoleta shida ktk maisha ya watu kwa kuweka mbele maslahi binafsi na si ya taifa.