Recent content by Mitego

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wamama watu wazima mtatumaliza

    Lingekuwa limama zuri then mmekutana pale samaki wala uzi huu usingeuleta!!!!
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunapendana ila tunaogopa kuambiana

    Mtoto gani wa kike ww? hujui kujisexsha kwa mwanaume basi hata kwenye cm? au ndo sauti kama ya mheshiwa mdada wa kawe?? mdada kama una mvuto wala kazi c ngumu hadi uje uku??
  3. M

    JamiiForums Tanzania Riwaya: Barua Kutoka Jela

    Utam Koleaaa
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nitamjuaje kama kakeketwa?

    Hana kile kinaniii kule ndo kimekatwa mbona simpo!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

    Hao ndo wanaume wa kiswahili yakhe ipo kazi haswaaa!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sababu kubwa ya kuwa na mchepuko ni kuridhishwa kingono

    Wengine umalaya tu kutulia hawawez hata wafanyiwe nn????
  7. M

    JamiiForums Tanzania Zali la Mentali

    Nimecheka kweli kipaji hicho fanyia kazi!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimefanya mapenzi na housegirl, sasa anataka zamu sawa na mke wangu

    umalaya bwana!!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kweli nimuache aoe wakati mimi nahangaika na kiumbe chake?

    ni mbaya sana tena ni kosa kubwa kugeuza mimba iwe kigezo cha kuolewa c ajabu hata alikwambia ana mtu wake bidada ukaona mimba itasaidia kwa story yako tu hata ukienda sumbawanga ni bure mapenzi hayalazimishwi wanawake tujifunze kuzaa kwa malengo c kila anaekukojolea unaachia hadi mimba!!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Le mutuz on my way to Muheza Tanga with Chairman Juma Pinto kwenye mazishi

    alimiss haya maisha kwa miaka mingi akiwa mtumwa ulaya ana haki kujiachia kwa nafasi yake kabla hajafa.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Unadhani Le mutuz alichangia nini?

    Hahaha mm naogopa police
  12. M

    JamiiForums Tanzania Clouds FM wasituchezee akili watanzania wapenda burudani

    tusubiri
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Habari ya Mwanafunzi aliyemzalisha mwalimu

    tutakoma na hii mitandao kwa kweli hii habari ilikuzwa hadi kuna redio wakageuza mada ya kujadili!
Back
Top Bottom