Utakuta TI ameambiwa aje kusema maneno mawili matatu halafu aondoke, kama rick ross mwaka jana, akafanya show ya dakika 15 na kuondoka. Ndivyo atakavyofanya TI
Rudi kwenu Somalia acha kutoa povu haba baada ya kuona ngome zenu huko somalia zinadondoshwabzote wanashindwa chukua somalia peke ale wataweza ku control east africa tumia akili kufikiri usitumie tumbo
ratiba haiwezi kuonesha TI anakuja Bongo kwa tour ya kimuziki clouds fm hawana uwezo wa kumlipa kwa show zake anakuja kimagumashi ndo clouds fm wanapata mwanya hapo!
Hoja nyingine ukizisoma huwa zinachekesha kweli.east africa is wat.??do ur home work before u speak,east africa sio kenya.!!
hapana mkuu Rick Rose alikamua kama 1 hour na quarter hivi
ni mnyama ????Utakuta mtoa mada hajawahi kuhudhuria hata show 1 ya Fiesta halafu ndo wa kwanza kubwabwaja, iwepo kwenye ratiba or isiwepo iwe kwa dili or not it doesnt matter, cha muhimu sie ni kumuona mnyama TIP sikuhiyo hayo mengine sie hayatuhusu
Kwanza suala la fiesta ni u.shuzi tu hakuna kitu. Inawezekanaje kupigiwa play back kila siku miaka nenda miaka rudi??? ndio maana nikisikia msanii kapewa laki 5 fiesta naona sawa tu. Utalipwaje milioni 5 au 10 wakati unamwambia dj weka track namba 3
Hawa wazush#em tuje tukate hizo ticket thn waxemee anakuja......Rabadaba wa ugandaa#watakoma balaa litakalotokeaaa
Povu la nini Mkuu, kiufupi Al- Shabab wamepiga bomu Kenya tena sio mara moja, wamepiga Uganda, hawajapiga Tanzania kwa sababu hawana sababu mpaka sasa ya kufanya hivyo....na security yetu ilivyo porous wangekua wanatuchezea daily.....
Vikundi vya Kigaidi ni vibaya sana kwa sababu hawavai uniform zinazowaonyesha wao ni magaidi.....
Habari wanaJF;
Wapenda burudani wote nadhani mnafahamu kuhusu hili tamasha kubwa linaloendelea katika mikoa kadhaa ya Tanzania, linaloitwa Fiesta. Ukisikiliza matangazo ya Radio Clouds ambao ndio waandaaji na hata hapa JF wanasema kwamba kilele cha Tamasha hilo ni tarehe 18/10/2014 pale Leaders club, na kwamba mburudishaji mkuu atakuwa Mwanamuziki wa kimarekani aitwae T.I..
Katika pitapita yangu kwenye mitandao nimeona ratiba nzima ya T.I kwa mwezi October, hakuna sehemu wameandika ana'tour Dar es salaam Tanzania, mwaka huu au ujao.
Hawa clouds wameongea na T.I gani?? Au wamemchukua kwa dili kama wanavyofanya kwa mamburura ya Kitanzania yasiyojitambua...
Check hapa #T.I. Full Concert Listings on Songkick | Songkick..
Inawezekana hyperlink ikagoma si mtaalamu sana wa teknolojia ila jaribu ku'google pia.
Utakuta mtoa mada hajawahi kuhudhuria hata show 1 ya Fiesta halafu ndo wa kwanza kubwabwaja, iwepo kwenye ratiba or isiwepo iwe kwa dili or not it doesnt matter, cha muhimu sie ni kumuona mnyama TIP sikuhiyo hayo mengine sie hayatuhusu