Tunapendana ila tunaogopa kuambiana

Tunapendana ila tunaogopa kuambiana

Jifanye domozege uje ushangae kasepa....
kama unampenda mtu mwambie unasubiri tongozo kwa kua we huna moyo???

af nyie wanakondoo kwa unafiki hamjambo nyie hapo mnayafanya ila msione mtu mwingine katenda hayo mtamsengenya mtamuona mdhambi kumbe nanyi walewale tu pyeeee!!!!
 
Mtoto gani wa kike ww? hujui kujisexsha kwa mwanaume basi hata kwenye cm? au ndo sauti kama ya mheshiwa mdada wa kawe?? mdada kama una mvuto wala kazi c ngumu hadi uje uku??
 
Tumekuwa marafiki mda mrefu sasa kama miezi saba, kijana huyu amekuwa akinivutia sana hasa kwa tabia namuonekano wake yeye anasali kanisa katoliki pia ni mwana kwaya anamambo ya dini sana hivyo tukiwa peke yetu hata usiku huwa tunapiga story za dini tu na kusikiliza kwaya huwa anapenda kunikumbatia na kushika mikono Yangu tunapokuwa peke yetu na ninapokuwa kifuani kwake huwa anashidwa hata kuongea na moyo wake huwa kasi mm hujikuta nimelowa lakini naogopa kusema yy pia, naomba ushauri nifanyaje ajue nampenda maana nyege zinatuua
Next time mkilaliana mbusu mdomoni hlf chukua mkono wake uuingize kwenye papuchi ajipapasie ni kwa namna gani upo very wet.
 
Hahaaa, usimwambie mwache akuanze wewe, tena usikae naye karibu karibu mpaka unalowana khaaa, tengeneza mazingira ya kutongozwa wewee acha kujidai kauzu, ningekua mimi ningelegeza sauti mpaka anitamkie mwenyew heheeee
 
Mi naona kuna generation nyingine tena imekuja, yaani mko peke yenu mnakumbatiana na kupimana mapigo ya mioyo yenu, halafu mnatoka kapa. Binti hapo huna mpenzi una galasha, enzi zetu wewe ushaliwa siku nyingi na wengine wangekuta manyoya tu!
 
Mtoto gani wa kike ww? hujui kujisexsha kwa mwanaume basi hata kwenye cm? au ndo sauti kama ya mheshiwa mdada wa kawe?? mdada kama una mvuto wala kazi c ngumu hadi uje uku??

daah!!umemchana sana huyu mdada... nadhan amekuelewa
 
Tumekuwa marafiki mda mrefu sasa kama miezi saba, kijana huyu amekuwa akinivutia...
Ww hatukatai moyo ni kitu kingine lakini kama umeshajua moyo wako unatetemeka uwapo kifuan unafatako nn huko peke yenu nyie waendwa unataka akufanye nn? Ole wako umrudishe mpendwa nyumaaa
 
Etieee...mapenzi ya walokole hayo....shauri yenye mnakaribia zina hapo mambo ya kukumbatiana tena
 
fanya yote ila asiwe padre au fratel utapata dhambi nyote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom