Recent content by MissKitim

  1. M

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    USHUHUDA WA KWELI: Mimi ukweli nakubaliana na madaktari kwa asilimia mia moja hasa wanapodai kudumishwa kwa huduma mahospitali, uwepo wa vifaa vya tiba na madawa. Wiki mbili/tatu zilizopita tulikuwa kikundi ambapo tulitembelea hospitali moja ya mkoa. Na tulienda moja kwa moja katika wodi ya...
  2. M

    Tundu Lissu ana A++ ya bunge

    Ni muda mrefu sijachangia humu jamvini, ila hii Thread ya Tundu lissu imebidi nijitokeze. Jana nilimsikiliza Tundu Lissu akichangia hoja ya Kamati teule, and to be honest he drove me to tears. Niliguswa sana but in short inatupa picha madudu hayo yanafanyika ktk Wizara zote. Kitu kimoja...
  3. M

    GE2010 Michango ya CHADEMA Updates: Wiki ya Kwanza ya Harambee: 11,569,000...

    Wengine tunajitahidi kuchangia kwa njia ya SMS, tuwekeeni mchanganuo wa huko ili tuone kama tunahitaji kuongeza nguvu Mie nitajitahidi niweke kwenye CRDB pia. Mapambano yaendelee mpaka kieleweke, tusife moyo. We are optimistic mwaka huu SLAA anakuwa Rais, ikiwa vinginevyo wandugu tusikate...
  4. M

    GE2010 Kama CCM hawawezi, kwanini wanagombea?

    Mwanakijiji, Nimesoma hii article, na nilivyofika mstari wa mwisho machozi yamenilenga. Nashindwa kuamini kwanini watanzania walio wengi hawabadiliki, na wako mstari wa mbele kuserebuka kwenye mikutano ya CCM. Nikiona wanavyoserebuka...inasikitisha kwa kweli...sijui wanataka wafumbuliwe macho...
  5. M

    Halima Mdee: Bold and Beautiful!

    Hawa ndio vijana wa CHADEMA wanaodumisha chachu ya mabadiliko. Dada mpendwa, hata sie tulioko vijijini tunakupata vizuri. Ushauri wangu, Wewe, Zitto Kabwe na John Mnyika, tafuteni muda wa kuzunguka pamoja wakati huu wa kampeni ili kuhamasisha vijana ambao bado wamelala waamke. Kama...
  6. M

    GE2010 Zitto aanza ziara mikoa ya Pwani na Kusini

    Wapendwa tuwapeni TAFU chadema, peke yao hawataweza. Kampeni ya mtu na mtu tuipige vilivyo, kuhakikisha tunaongeza vijana wengi bungeni na kuibuka na ushindi. Nimevutiwa sana na wabunge wa chadema, ambao so far nimewaona kwenye kipindi cha mchakato cha TBC1. Wanajenga hoja za uhakika, na wengi...
  7. M

    My story

    Mlaponi tafadhali amka mkuu, kama vyuo vinatumia lugha ya kiingereza katika kufundisha; inabidi by default lugha ipande kwa wanafunzi. Sasa kama communication mtu inamshinda, uelewaji wa masomo darasani yanayofundishwa kwa kiingereza unatia wasiwasi..na wasi2 unaenda mpaka mtu anapopata...
  8. M

    Zain promotion: Ni kweli ama batili??

    Wangekuwa kweli wanataka watu wawaamini, ks ni ukweli usiofichika hata matumizi ya kawaida tu wanapata hela nyingi. Wangechezesha droo kwa wateja wao ambao ni watumiaji wa kubwa wa simu lets say for a particular month na kutoa hata gari moja>....i believe hii ingehamasisha watu kutumia simu na...
  9. M

    Ni maziwa gani mazuri kwa watoto wachanga wa chini ya mwaka mmoja

    SMA Gold , ni mazuri. Ila kopo ni 25,000/=. Maziwa ya ng'ombe hawashauri watoto chini ya mwaka mmoja labda uchanganye na maji.
  10. M

    Zain promotion: Ni kweli ama batili??

    Na kweli hamna cha dezo, bure Ghali ...Ila unaesema great thinkers, hata great thinkers hucheza LOTTO kwa kutoa kidogo ili upate kikubwa..Ni part of life watu kujaribu bahati zao. Ila iwe legal na kweli...sio kuiba hela halafu zawadi hazionekani. Honestly we could be contributing to a green...
  11. M

    Zain promotion: Ni kweli ama batili??

    Honestly, i am still looking for an answer..was this a kiini macho kama wadau wanavyosema hapo juu ama? Hii promotion imechezeshwa wapi na mshindi wa RAV4 ni nani? Sijaona on any media? Sasa wamedai wameextend na kuna RAV4 nyingine.....Please mwenye jibu kamili
  12. M

    Zain promotion: Ni kweli ama batili??

    Hata mie nimeshtuka ndo maana imebidi niulize. Hapa ofisini wengi wanajibu hayo maswali, unakuta mmoja ana pointi laki 500 na mwingine ana point 50,000. Halafu wote wanaletewe message eti upo kati ya 30% au 10% ya wachezaji wa juu. No one ameshinda hata airtime. Kama ulivyosema mdau wa...
  13. M

    Zain promotion: Ni kweli ama batili??

    Wadau, Naombeni msaada.. Ni kipindi sasa Zain wanaendesha promotion ambapo washindi wanatakiwa kupata sh. 500,000 cash kila siku, toyota corrola na ticket ya kwenda Africa kusini kila wiki, na mwisho wa promotion mshindi atapata RAV4. Hii promotion ni kutuma neno JIVUNIE kwenda 15656, na...
  14. M

    Kambayuwayu ka Kikwete kalikotaka kuwa tetere!

    Na kweli iko siku...Watanzania tutainuka na kuchambua pumba ipi na mchele ni upi. Honestly mie binafsi nimechokaaaa vibaya mno na UONGOZI WA SASA. Dalili ya mvua ni mawingu..hizi ni dalili kuwa ukombozi uko karibu.
  15. M

    Chiluba found "Not Guilty" in All Counts.

    Source: The Post Newspaper ( Zambia) Editorial Column There are many questions being asked about the acquittal of Frederick Chiluba by magistrate Jones Chinyama yesterday. People are asking what the Chiluba acquittal means. What does it mean? Put simply, it means Chiluba won't have to go to...
Back
Top Bottom