Elections 2010 Michango ya CHADEMA Updates: Wiki ya Kwanza ya Harambee: 11,569,000...

so far.. leo tu kuna pledges za 570,000.. lets do it WATANZANIA... CHANGE IS NOT WHAT WE PRAY OR WAIT FOR, IT IS WHAT WE BRING!
 
Mimi nilituma kweneye sms....mbona sijaona mchanganuo km ni kiasi gani kilipatikana kupitia huko...........nisaidie tafadhari!

so far.. leo tu kuna pledges za 570,000.. lets do it WATANZANIA... CHANGE IS NOT WHAT WE PRAY OR WAIT FOR, IT IS WHAT WE BRING!
 
Twendeni kufanya kufanya kweli... jamani hata kwenye mechi zetu enzi zile si wote tulikuwa wachezaji lakini baadhi walinunua machunga na machenza kuwapa moyo wachezaji.. be part of something bigger than yourself.. be part of history..!

SISI KWENYE KATA YETU TUMEUNDA TIMU YA KAMPENI YA KUHAKIKISHA KUWA KAMPENI ZA MGOMBEA UDIWANI WA CHADEMA ZINFANYIKA, TUMEFANIKIWA KUTENGENEZA PICHA 1000 MPAKA SASA NA VIKAO VINAENDELEA NA MWITIKIO WA WATU NI MZURI SANA. i WISH TUNGEANZA MAPEMA. OLE WAO CCM WAHAHIRISHE UCHAGUZI TENA KAMA 2005, MAANA WAPENDA MABADILIKO NDIO KWANZA WANAHAMASIKA KUCHANGIA.
 
Wengine tunajitahidi kuchangia kwa njia ya SMS, tuwekeeni mchanganuo wa huko ili tuone kama tunahitaji kuongeza nguvu
Mie nitajitahidi niweke kwenye CRDB pia.

Mapambano yaendelee mpaka kieleweke, tusife moyo.

We are optimistic mwaka huu SLAA anakuwa Rais, ikiwa vinginevyo wandugu tusikate tamaa tuendeleza mapambano. Iko siku matunda yataonekana, and that time is very soon.


All the way CHADEMA, tunataka mabadiliko ya kweli
 
Asante mzee. Naona zile za sms hazipo hapo. halaf kama CHADEMA wanaweza kuwajumuisha tigo kwenye hii njia ya sma, kwani siku hizi vijana wengi tuko huko...

"CHADEMA" kwenda namba 15710
"NAJIUNGA" kwenda namba 15710
"SLAA" kwenda namba 15710

Unaweza kutuma meseji mara nyingi kadri unavyoweza na kila ujumbe utagharimu TZS 350/= tu.
HII NI KWA MITANDAO YA ZAIN, TIGO NA VODACOM TU.
 
Nami nimejitutumua kwa kuchanga 500,000/- nimemtumia mtu aziweke kwenye akaunti ya CRDB kwani kuziwayaisha kwenye akaunti hizo ni ghali kutoka nje ya nchi. Vilevile nimemchangia Mnyika, Mdee, na Lwakatare. Kama nitapata pesa kidogo na akaunti za wengine nitachangia vilevile.

PAMOJA TWAWEZA NA TANZANIA BILA CCM INAKUJA!

"CHADEMA" kwenda namba 15710
"NAJIUNGA" kwenda namba 15710
"SLAA" kwenda namba 15710

Unaweza kutuma meseji mara nyingi kadri unavyoweza na kila ujumbe utagharimu TZS 350/= tu.
HII NI KWA MITANDAO YA ZAIN, TIGO NA VODACOM TU.
 
Na mimi na familia yetu zile milioni 2 nilizotuma kwa njia ya voda pesa sijui mumezipata? Sio baada ya uchaguzi kuisha mujekutuambia majambazi yalivamia hazina ya chadema na kutoroka na pesa zote!!!

Hata kama mimi sio chadema lakini nadhani naruhusiwa kuchangia maana hata yule mhindi wa ccm si alichangia milioni 100?
Sisi huwa tunachangia chama chochote kinapoomba msaada lakini sharti fedha zionekane zinafanya kazi! Sio mtu kama mbowe anaedaiwa mamilioni ya mkopo wa benki azitumie fedha zetu kulipia madeni yake! Kwa kweli mutaturudishia fedha zetu kama mutazifisidi maana binaadamu yoyote anaasili ya uroho!!

Hayo yameshatokea ktk nchi zilizoingia ktk uchaguzi na kuleta uongozi mpya matokeo yake ufisadi uliongezeka maradufu! Mfano, kenya, zambia, senegal,malawi, ethiopia,eritrea, nk. Hivyo chadema sidhani kama nyinyi ni malaika muliotumwa toka mbinguni tutawaamini vipi kama nyinyi hamna mafisadi?
 
Kapu la mjanja, mjinga hatii mkono! wachaga sasa mna tapeliana wenyewe kwa wenyewe. Hivi hamja jifunza ya mwaka 1995? Kama namuona Mwenyekiti Mbowe meno yote nje mwaka huu anakula kwa ulaaaiiiniiiii!

Wale akina mwenzangu mie chezeni ngoma msio ijua, wakati mnastuka too late! wenye ngoma yao akina Augustino Moshi wanacheka tu!

Hivi baba na mama yako wakikusikia unavyoongea si wanapatwa na aibu kubwa sana? .... kwamba imekuwaje wamepata mtoto zumbukuku kama wewe.
Na kama una familia yako (mke na watoto) nadhani wakikusikia ukiongea wanatamani wakufunge domo lako . ... Broda .. you are stupid big tyme!!
 
MMJ, na mimi ninatoa kiasi chako laki moja.Lakini kwa sasa hivi niko UK,bila kupoteza muda njia gani ni rahisi kutuma iliweze kutumbukiza kesho,baada ya wiki mbili nitakuwa nyumbani lakini siwezi kusubiri muda wote huo itaninyima usingizi.
 
Mwanakijiji.
Huu ni mwanzo mzuri kwa wiki ya kwanza tu na kupata kiasi hicho. Lakini naamini ingekuwa busara ungewekwa mpango au maelekezo kwa wale ambao wako nje ya Tanzania (particularly nje ya Afrika) ni jinsi gani wanaweza kuchangia. Hakuna akaunti ya Paypal watu waweze kutumbukiza vihela kidogo? Haba na hana hujaza ki......
 
Mimi nimechangia kwa njia ya sms mpaka vidole vinauma. Kesho nitachangia kwa M-PESA:
Ningependa kujua mchanganuo watu wa sms tumechangia kisi gani? Ili tujue kama tuongeze kasi zaidi.
Chademaaaa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom