Zain promotion: Ni kweli ama batili??

Hakuna kitu cha bure hapa duniani kama wengi wanvyodhani,haya makampuni ya simu yapo katika kuchangisha pesa za kampeni za ccm,huo ndio ukweli ambao haupingiki,Jamani mtaliwa sana kwa kupenda Dezo!!! Badilikeni:becky:
 
Hakuna cha kuibadilisha jina kwa kuiita bahati nasimu wala nini.....Hii ni KAMARI na ni HARAM.....ni wizi mtupu.....ni kukichangia chama katika chaguzi zake indirectly........
 
Hakuna kitu cha bure hapa duniani kama wengi wanvyodhani,haya makampuni ya simu yapo katika kuchangisha pesa za kampeni za ccm,huo ndio ukweli ambao haupingiki,Jamani mtaliwa sana kwa kupenda Dezo!!! Badilikeni:becky:

nani alikwambia hicho ni kitu cha bure wakati watu wanakwatwa hela zao? Hii kama ni bahati nasibu, GAMING BOARD wanajua hii?

Mie hadi tarehe 10 mwezi wa 8 nilikuwa napoint za jivunie za Zain 1,100,230. sasa hivi kila wakituma maswali yao, nadelete! I was having fun mwanzoni, lakini naona kama nime DECIka vile.
 
Hata mie nilicheza ya shinda mkoko na Vodacom zikafika points 103,000/= ila hola tena kwa siku moja kumbe wiiiizi mtuupu
 
WAIT, anapoints 700,000*300=210,000,000!!!!! ( MILIONI MIA MBILI NA KUMI!!!), Ama kweli kuna watu wana fweza hapa bongo, hayo ni mavuno ya mwaka mzima!!!!!!!! mwe! hakyamungu ndiyo maana kuna watu bado wanacheza KARATA TATU! Sasa huyu anategemea zawadi gani itayorudisha hiyo fweza? gari yenyewe ni RAV4!!!! my my...............Au mimi mgumu wa kuelewa?

Hapana huwa kunkuwa na bonus points.....unachajiwa 300/= lakini unapata mpaka 50,000 points kwa swali moja tu...hivo kufikisha point 700,000 ni rahis tu
 
Wangekuwa kweli wanataka watu wawaamini, ks ni ukweli usiofichika hata matumizi ya kawaida tu wanapata hela nyingi. Wangechezesha droo kwa wateja wao ambao ni watumiaji wa kubwa wa simu lets say for a particular month na kutoa hata gari moja>....i believe hii ingehamasisha watu kutumia simu na wao kuongeza mapato..kuliko wanachofanya sasa hata on their website washindi hawawekwi despite having a winners page..

Sasa hii ya sasa ni kiboko. Na Voda amemuiga Zain na mikoko yake ila yeye the SMS charge ni ya juu.

Me too at the beginning I was having fun answering the questions, bcoz the questions were appealing to answer..but now I have given up please ZAIN could you send a SMS to all those wishing to unsubscribe..its irritating...

Ni wizi mtupu..Eti anza kuchua vidole vyako..laki 5 inaweza kuwa yako usiku....Mara hoo ni mchezaji wa juu. Siku wameuliza eti mchana unapendelea kula nini 1) Wali 2) Ugali 3)Chips 4)Kingine upate point 5000. Honestly.....aaaaaghhhh
 
Back
Top Bottom