Habari zenu wakuu....je biashara mchele wa jumla jijini arusha unalipa?je mtaji wake unaweZa kua bei gani?na huwa inakuaje....naomba kueleweshwa tafadhali....
kama mimi nimechangia nafasi ya hustle yake then kula hela zake ni halali...ila sio jamaa akihustle ulimkataa kaja kufanikiwa ndo unataka akuhonge...binafsi kama mwanamke hapana hio inakua ni tabia mbaya....ride or die ndo mpngo mzima...
ulimbukeni tu....kutoridhika na hali uliyonayo sembuse na wazazi wake wana tabia izo unakuta wako tayari kuwaozesha watoto wao kwa watu wenye pesa....udhaifu na tamaa...mimi binafsi sibabaishwi na pesa ila naridhika na hali halisi....maana dunia imechafuka....
vizuri sana kwa kweli mtu kashafkisha miaka60 kapewa mafao ya mamilioni bado unataka ufanye kazi ili iweje kutuzibia rizki tu tulioko mtaani tunaangaika...achia ngazi wakae wengine...binafsi nimefrahishwa staki kujua mengine...kwa mazuri tusifiwe kwa mabaya tukandye....
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.