Nampenda miss chagga

Nampenda miss chagga

ngoja basi sisemi tena au tule dili nile na wifi yangu

Dili ni la mmoja tu! Mtaanza kugombania mgao wakati hata dili halijatiki.

Ugomvi unaanzia pale mtakapoulizana; Tukiiba 10 we ngapi mi ngapi, mara mimi nichukue 8 maana ni kaka yangu, huku mwingine anasema mi ndiye niliyetumika nichukue nyingi.

Kimya kimya tu.
 
Pouwa mi nitakupa asilimia moja ya dili
 
heshima yenu wakuu

mie toka nijiunge humu siyo mtu wa kufatilia life ya mtu wala sipend kujuana juana sana
ila huyu dada miss chagga mie namzimia mbayaa naomba kama hajaolewa anambie nna kaka yangu husband material angefaa sana kuwa wifi yangu nataka nimpeleke kigali!

af mjue ni nini kuna wadada wanajikuta wasafi sana kumbe machangudoa tu, hawana uzuri wala hawajiheshim hata kidg lkn kwa post zao aaaaaah ni malaika!siye kina umu maneno meng meng twaonekana vicheche hahahah

mimi nipo kama nilivyo na ukinchukulia poa me nakuona hamna tu, usimjudge mtu kwa anachokiandika humu
we ar here just kurefresh na kufanya siku iishe n siyo kila tunachokiandika humu ni realty
mpo apo??

Japo topic ilimhusu Miss chagga, lakini naona ukaamua kutema na nyongo zako ili upate nafuu ni vizuri pia! Unajua ukikaa jambo rohoni bila kulitoa nje waweza pata maradhi!
Anyway mada ni Miss chagga! Wallah mwaka huu patachimbika manake kule JP kapewa zawadi ya gari la gharama kubwa sasa sijui....!!!!
Miss chagga hiyo ndele ulochanjia kapunguze kidogo wallah manake itakuwa kero sasa
 
jamani ngoja niongee naye kwanini amekuwa mbahili tena wakati mm jana tu alinipa hela ya kwenda nayo sabasaba ngoja nimwambie ajui kuwa wewe ni wa muhimu sana tena wewe ni wa pekee sana hapa ulimwenguni?

usimwache bhana labda amefilisiwa mashule yake kwani anadaiwa na crdb bank si unamjui mumeo hakukwambia kuwa ana mkopo mkubw a benki halafu anamiliiki bmw la pritoria yaani jumba la kifahari si mchezo sasa uikimwacha nani ambaye atakwenda kulikalia lile jumba na wakati amekuwekea lehani wewe?
mbona we wifi mbea kaka yako mbahili sana mi ndio maana simtaki bwana... i love u nyingi wallet yake hagusi... tokea nimwambie nampenda pia kaacha kabisa kunipa hatahela ya nauli
 
jamani ngoja niongee naye kwanini amekuwa mbahili tena wakati mm jana tu alinipa hela ya kwenda nayo sabasaba ngoja nimwambie ajui kuwa wewe ni wa muhimu sana tena wewe ni wa pekee sana hapa ulimwenguni?

usimwache bhana labda amefilisiwa mashule yake kwani anadaiwa na crdb bank si unamjui mumeo hakukwambia kuwa ana mkopo mkubw a benki halafu anamiliiki bmw la pritoria yaani jumba la kifahari si mchezo sasa uikimwacha nani ambaye atakwenda kulikalia lile jumba na wakati amekuwekea lehani wewe?
hakuniambia klakini now napmpenda tena kashapata hela
 
du kumbe huku nako kuzuri, na mimi ngoja nitafute wa kuzunguka zunguka eeeh, maana misije kutana nao halafu nikakimbia mbia mno. ila wachaga sina hofu nao kuna vitu fulani vya kipekee lazima uvikute na vizuri tu,
 
Back
Top Bottom