nimekuja mbio mbio nilifikiri yale mambo yetu.
Simulizi yako mzuri......
nimekuja mbio mbio nilifikiri yale mambo yetu.
wakuu nikiwa na dem wangu tumetulia ndani,huyu dada ni anamatatizo ya macho,
akanituma nikamnunulie dawa hizi za drops,wakati narudi sikufunga mlango.sasa kulikua na majirani wamekaa nje mida ya saa mbili hivi,nilivyoingia ndani nikamwambia kwa sauti lala chali iingie vizuri,sasa majiran walifikiri nimeenda kununua condom kwa muda ule niliotoka,wakanyamaza kimya mala mmoja akalopoka jamaa anakula mzigo,mi sikuwajali.wakati
namuwekea hii dawa akaanza kulalamika uwiiiiiiiiiiii inaumaaaaa kwa sauti,nikamwambia ngoja niweke ya mwisho,akajibu
kwa upole hayaaaa,nikamuwekea kwenye jicho la pili,si akalalamika tena. haaaaa kumbe majirani wamesogea mlangoni
kupiga chabo si nikatoka nikakutana nao uso kwa uso,wakati niko mlangoni dem wangu akasema kwa sauti,naomba usiitupe hiyo dawa utaniwekea na asubuhi,majirani kusikia hivyo si aibu ikawarudi mi nikabaki nacheka tuu.
Kwaio ungekuwa na wewe unaskia watu wengine wanaongea ivo ungefikiri nini?

Daa! jamaa walikuwa walidhani mechi kati ya Agentina na German inakaribia kuanza!
Dah, umeniomndoa raha kwani nami ilibaki kidogo tu nije nipige chabo kutokana na hiyo sauti ya upole.
nimependa story yako.
dah! mambo haya uswazi yapo, hata kama jamaa katunga lakini ndo maisha ya uswazi.
mi nilipata ishi uswazi halafu nyumba haina "ceiling board"!
loading error...I see....