MankaM
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 9,448
- 3,070
Mwanaume haoni tabu kuhonga mvulana lazima alalamike
reality....
Mwanaume haoni tabu kuhonga mvulana lazima alalamike
hahaha wanaume wapunguze kulalamika "women have needs and men have responsibilities".
Miss chaga njoooo mnaitwa...
kama mimi nimechangia nafasi ya hustle yake then kula hela zake ni halali...ila sio jamaa akihustle ulimkataa kaja kufanikiwa ndo unataka akuhonge...binafsi kama mwanamke hapana hio inakua ni tabia mbaya....ride or die ndo mpngo mzima...
Mwanaume wa ukweli lazma ajue majukumu yake vinginevyo wanaojua dhamani ya mwanamke wanakubebea unabaki kulia na mto kitandani
kwani tunawashikia bastola,si mnazitoa wenyewe,tena saa zingine mnataka kujionyesha mnazo,eti baby hii simu haikufai kabisa ntakuletea nyiingine
Mwanaume wa kweli halalamiki kutoa hela ubahili aufai aisee
Kwani mlilazimishwa kutoa ivo vitu? si kujipendekeza kwenu tu.
RABISHHHHHHHH! Hivi wewe usione tunawachuna kwa speed DID YOU EVER TAKE TIME TO PERUZ HISTORY OF A WOMAN.?
Hata tuwachune kiasi gani haitoshi kulipia damage tuliofanyiwa wanawake century n century. Fikiria wanawake hawahesabiwi zamani ila vitoto vya kiume vidogo ndo vinahesabiwa kama watu!? Mxiuuuuu! Mwanamke hana kauli, hana maamuzi hata aolewe na nani. Mwanamke haendi shule, hafanyi chochote anashinda jikoni tu!
DO YOU THINK WE WILL GIVE UP OUR LONG FOUGHT WITH BLOOD AND SWEAT CHANCE TO BREATH.? Hell no! IFIKE MAHALI WANAUME MUONE YATOSHA MABABU ZENU WALIFAIDI KWA NIABA ZENU!
na mwanamke wa kweli halamiki kiliwa tigo kama njemba amefika bei. ukila ukae mkao wa kuliwa
Ukitaka tuanze kukumbushana habari hizo za nani alimfanyia nini mwenzake basi tutarudi mpaka kuumbwa kwa dunia,ambapo nyie ndio chanzo ya haya mambo yote duniani baada ya Eva/Hawa kula tunda,vimbelembele sana nyie mjue,so hayo yote unayosema yame wakuta sababu ya mwenzenu wa mwanzo kuchepuka na kula tunda la mti kati
A wapi tigo ni another case hata wanaume wanatoa mbona hela ndogo yawatoa jasho na tigo hupewi na hela mwatoa kiulaini
mie naona wala hamna shida demu anataka iphone nampa na hapo hapo avue chupi sio somjo...alafu sasa nyondo zenu eti wee mwanaume gani huna hela....ebo wee mwanamke gani ujui kutbua mwenye hela na asiekuwa nazo
Hamnaga mwanaume ambaye ana tatizo kwenye kuhonga as long as anapata anachotaka.So nashangaa kuona wanalalamika mabinti