Wanawake kwa nini fedha zinawachanganya akili?

Wanawake kwa nini fedha zinawachanganya akili?

Kwa waliofunga tumeshafuturu,basi si haba nataraji wote mko buheri wa afya.
Back to the topic,why?
Kuna jamaa kahamia mtaani mambo yake saafi,wagogo wanasema mswano, na usafiri wake rav 4 dah! Noma aisee!
Wake za watu4 kagonga,wakisoma kama 5 hivi nao kabanjua, lakustaajabisha alikua anagonga dada mtu,siku ya siku akamuona mdogo mtu,
kama kawa dogo kumbe anasoma mkoa,kajilengesha jamaa kagonga,
sas hakuna maekewano kati ya mtu na dada yake,majirani ndio tunahangaika kuwasuluhusha.
Whaat exacttly ijust need to know,kwa nini fedha zinawavuruga akili ?

Mtaani kwenu wapi mkuu.!?,

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
ulimbukeni tu....kutoridhika na hali uliyonayo sembuse na wazazi wake wana tabia izo unakuta wako tayari kuwaozesha watoto wao kwa watu wenye pesa....udhaifu na tamaa...mimi binafsi sibabaishwi na pesa ila naridhika na hali halisi....maana dunia imechafuka....
 
Ulitaka kujua utamu wa pesa muulize Yuda Iskariot
 
Pesa ni mbaya sanaaaaaa...ukiamua unaziona za kawaida hasa kama kuna sehemu unapenda
 
Kwa nini mwanaume akikosa pesa hata kusimamia show anashindwa?
 
Vipi akija Trey Songz au Chriss Tucker akafunguka?

ulimbukeni tu....kutoridhika na hali uliyonayo sembuse na wazazi wake wana tabia izo unakuta wako tayari kuwaozesha watoto wao kwa watu wenye pesa....udhaifu na tamaa...mimi binafsi sibabaishwi na pesa ila naridhika na hali halisi....maana dunia imechafuka....
 
sasa hapo alievurugwa nani? wanawake kumi wote wanamtumia jamaa wanambwaga, bado jamaa anajiona mjanja. heshimuni vikojoleo vyenu bana.
 
Kwa nini mwanaume akikosa pesa hata kusimamia show anashindwa?

labda hua anaambiwa na anaepiga nae show kuwa hamna cha bure,kwa hiyo anakosa kuchimba madini sawasawa.
 
sasa hapo alievurugwa nani? wanawake kumi wote wanamtumia jamaa wanambwaga, bado jamaa anajiona mjanja. heshimuni vikojoleo vyenu bana.

realistic wadada walitakiwa kuona soni yaani aibu,kwa kuwa mjini kila mtu kauzu zaidi ya dagaa poa,kwa jamaa poa zaidi wote kawagonga na kawamwagia sp**m zake,kwake ni ushindi.
Akikaa maskani anasema wale wote nimefunua.nani zaidi.
 
Back
Top Bottom