Recent content by miss wa kinyaru

  1. miss wa kinyaru

    Mapenzi pesa au ufundi?

    Atakuwa anamchepuko unaompa pesa believe me
  2. miss wa kinyaru

    Tulioacha na kuachwa tukutane hapa kwa ushauri

    Nilipigiwa simu na mwaume usiku, akajiacha mwenyewe mimi huwa siachwi
  3. miss wa kinyaru

    Fahamu madhara ya kuvaa chupi

    mbona hujayataja hayo madhara
  4. miss wa kinyaru

    Kutokua na wivu

    yeye mwenyewe anamchepuko wake wivu wa nini sasa
  5. miss wa kinyaru

    Huu mchezo Wanaume wanawafanyia sana Wanawake

    Wanaweza kutana wote wako sawa wewe unatafuta mbinu ya kuondoka na mwenzio kumbe nae anawaza hilohilo ukiondoka anasema asante Mungu kuniondolea shetani huyu
  6. miss wa kinyaru

    Hata siamini kama nimenasa

    Tatizo serikali inahangaika na ugonjwa wa ukimwi badala ya kuhangaikia kwanza ungonjwa wa nyege unaosababisha ukimwi.
  7. miss wa kinyaru

    Hata siamini kama nimenasa

    Watu wa JF bwana mnafurahisha sana, inamaana wote humu mnatumia ndom, kila mtu anauliza kama alikumbuka au ni wepesi wa kuongea wazito wa kutenda. halafu mnajuaje yeye ni mzima? Je kama yeye ndo anagawa? I love you Kasinde maana unajiamini na unajua unachokifanya, huangalii nani atasema nini...
  8. miss wa kinyaru

    Maskini mke wangu kumbe ulitoa mimba? Kwanini sasa hukunambia nifanye maamuzi?

    Wewe nae unajiumiza kwa kitu kidogo kiasi hicho, je angekuwa hazai na ukaambiwa tatizo ni hilo la kutoa mimba si ungejiua, mwanamke kakuzalia watoto na anakupenda unaanza kukumbuka ya nyuma ya kutoa mimba, mimba yenyewe haikuwa yako tatizo ni nini?! kwa taarifa yako asilimia kubwa ya mabinti...
  9. miss wa kinyaru

    Nimezamaaa naitaji msaada

    Pole sana huyu mpenzi ana wapenzi wengi balaa, wengine watajifariji hawampendi lakini ukweli utabaki kuwa kila binadamu mwenye akili timamu anampenda, mimi pia nampenda sana huyu pesa.
  10. miss wa kinyaru

    Dawa ya kuongeza nguvu za kike

    Mchaga kufika kileleni ni vigumu maana wao huwa wanafikiria pesa utakayompa na si mapenzi unayompa. kazi unayo jitahidi kumpa pesa nyingi atafika tu kileleni wala usihangaike kutafuta dawa tafuta hela hapo utamfikisha mpaka alie
  11. miss wa kinyaru

    Mnataka pesa au mnataka mapenzi,mbona hamweleweki?

    pesa hawana hata mapenzi nayo hakuna walishabakiza kulalamika tu ooohh wadada wanapenda pesa, hebu tafuteni pesa.
  12. miss wa kinyaru

    Mnataka pesa au mnataka mapenzi,mbona hamweleweki?

    yeye mwenyewe atakavyo penda kuitwa nitamuita,
Back
Top Bottom