mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,421
- 1,792
Thanks for caring, by the way why are you so hurt? what hurts u that much? Am more than keen
I love you that's why I'm worried. You said that "NAKULA UJANA" Please becarefull
Thanks for caring, by the way why are you so hurt? what hurts u that much? Am more than keen
Thanks for caring, by the way why are you so hurt? what hurts u that much? Am more than keen
I love you that's why I'm worried. You said that "NAKULA UJANA" Please becarefull
Oooohh nimechelewa kuiona quote yako nashangaa notification yake haikuja, u made me feel so so.......
Si wajua mwanamke tukiambiwa maneno matamu, a good smile appeared in my face. What should I say, I dont know you, though I feel that u know me..... and yet you dare to tell me u love me in front of this society of JF thank you very much for caring and loving me.... now on I turned my mind and its up right, nothing wrong is gonna happen to me and nothing nasty I will do again, trust me.
If we know each other pls email me coz this ID is new to me but ur words... tells me something....
Sidhani kama hata condom ulitumia!Na utakapoanza kukohoa na kuharisha uje kutupa mrejesho.
Sign out:
Nipo babu DC, yaani nakula bata kwa kwenda mbele nyuma sirudi ng'oo, (sijaliwa babu mie ndo nakula heheheee)
Huyu Tuko bora u dili nae maana anasema eti amesoma na wewe darasa moja wakati mi najua humu JF babu uko wewe tuu, Asprin najua ni babu kwenye mambo yake yaleeee ila babu wa ukweli ni wewe DC...
Tatizo serikali inahangaika na ugonjwa wa ukimwi badala ya kuhangaikia kwanza ungonjwa wa nyege unaosababisha ukimwi.
Tatizo serikali inahangaika na ugonjwa wa ukimwi badala ya kuhangaikia kwanza ungonjwa wa nyege unaosababisha ukimwi.
Watu wa JF bwana mnafurahisha sana, inamaana wote humu mnatumia ndom, kila mtu anauliza kama alikumbuka au ni wepesi wa kuongea wazito wa kutenda. halafu mnajuaje yeye ni mzima? Je kama yeye ndo anagawa?
I love you Kasinde maana unajiamini na unajua unachokifanya, huangalii nani atasema nini. Ishi uwezavyo mwaya maisha yenyewe yako wapi! Kisa cha kufa na ngeye kisa uko ugenini, Wanataka ungebeba kwenye poch uende nayo.
Sema hakyamungu.......
Afu we mtoto wewe, iko siku yako. Ntakuchapa!!!
Nipigie..., mpenz wangu nipigie,.....
Ntakupigia haniiiiiiii........
Kasinde mbona unataka kuniuzia kesi lakini?hahahaha babu Asprin bana, hakyamungu mie najua wewe ni babu kwenye yale mambo yako yaleee, maana naskia watu wanasema we ndo umebobea kwenye mambo hayo na ni mzoefu na huwa hukosei yaani hapo uko expiriensed, hahahahhaaa. Au wanakusngizia eti babu Asprin? au wewe ni baby Asprin na wanakosea ndo wanakuita babu Asprin hehehehehee, somehow mie ni mchokozi so usikasirike pls. Lakini, ni kweli kuwa wewe ubabu wako ni wa kubobea kwenye mambo hayo!!!??? am just curious......
Usinchape babu ukinchapa utakuwa unanionea ila natumai babu Dark City atakuja kunitetea usinichape looh
hahahahahhahaa tupigianeeeee..........., ila mie napika jikoni......
mmmh naogopa mafuriko mie huko visiwani kunafurika sana bora ksiwa kikubwa madagascar naweza jipa moyo kwenda, poa stay well.