mapenzi hela.. ufundi peleka VETA....... ila ukweli mapenzi bila pesa ni uongo
ha ha hahaha duh!!!!!!!! mkuu data tafuta hela tuNilikuwa nakutafuta. Ok., bas thread closed.
Vyote, ila baby wangu hapendi pesa.yeye maufundi tyuu!!
Nilikuwa nakutafuta. Ok., bas thread closed.
Atakuwa anamchepuko unaompa pesa believe me
vikienda sambamba vinanogaga!! Preta
eti jamaa fundi halafuvanipeleke kayumba gest hauz. akwendreee
Vyote, ila baby wangu hapendi pesa.yeye maufundi tyuu!!
Anapretend huyo. Kuna mtu anampa mapesa
Umeona eehhhe........wee unajua......hao wanaosema pesa.......wanaenda kununua shughuli.......na hao wanaosema shughuli.........wanaenda kununuliwa.......bora kubalance...
Habari mwana forum mwenzangu wa MMU. Jana nimetumiwa wimbo wa diamond na Ney wa mitego wakibishana kuwa mapenzi ni ufundi na mwingine anasema pesa. Nikaamua kumtafuta swahiba wangu kumuuliza na kilichotokea ni kuwa na sisi tukawa tumepishana mtazamo. Sasa nalileta kwenu tulizungumze.
Kwa upande wangu naona mapenzi ni ufundi. Kuna huu msemo "Ukiona dada kaolewa, jua dada kanogewa". Na mwanamke akifuata pesa katika mahusiano ni rahisi sana kucheat kuliko aliyekubali kuwa na maskini lakini ni fundi katika ulingo. Vipi wewe?
Mapenzi pesa bwana huo ufundi nitakufundisha tu labda uwe mkaidi....et mapenzi ufundi unalipa bili huo ufundi????
Mapenzi Ni Papuchi + Jogoo(dhakari kichwa wazi)