Huu mchezo Wanaume wanawafanyia sana Wanawake

absolutely not the one, huyo ni mwingine kabisa na sidhani hata kama uandishi wangu na wake unaendana. am so bussy this time na siwezi kubadili ID ama kuwa na multiple IDS maana hakuna sababu ya kufanya hivyo
 
Mi ndio MCHUNGUZI HURU, nafanya chunguzi nikiwa huru kimawazo... ukikubali chukua, hutaki unaacha. I DARE TO POST THREAD OPENLY...

Mwanaume akishafanya sex na mwanamke akawa hajisikii kuendelea kukaa mahali walipo either iwe kwenye hotel au nyumbani kwa mwanaume au mwanamke lakini mwanamke bado anahitaji kuendelea kuwa na huyo mwanaume, unajua mwanaume huwa anafanya nini ili kuondoka au mwanamke aondoke? Endelea kusoma MCHUNGUZI HURU nikueleze kinachofanyika.

Ikumbuke kwamba mara nyinGi mwanaume akishasex na mwanamke huwa anapoteza hamu kwa huyo mwanamke yaani ghafla anajikuta hana mzuka na huyo mwanamke (mara nyingi).

Mwanaume akiwa anataka aondoke au uondoke humtumia sms rafiki yake "mwanangu fanya unitumie sms au unipigie niambie nahitajika ofisini haraka sana" au "unahitajika haraka sana chuoni" baada ya kumtumia rafiki yake basi atapigiwa simu afu anaweza weka loud speaker ili usikie au atatumiwa sms na huyo jamaa yake na atakuonyesha kabisa hiyo sms ila ukimwambia nikusindikize atakataa... ha ha ha.... akishafanya hivyo basi tena ndio anakuwa ashaondoka, siku akiwa na hamu tena anakuita akimaliza anakuja na ujanja mwingne...... wanaume ni janga kwa taifa
MCHUNGUZI HURU
Dah... Tutoto twa shule tupo likizo
 
Hii ni roho mbaya kabisaaaaaaah kisa we usha rithika una mkata stim mwenzio duuuuuh!! Ndio mana michepuko hata kwa wadada ipo koz mna wabeep tu hawatosheki.
 
Wanaweza kutana wote wako sawa wewe unatafuta mbinu ya kuondoka na mwenzio kumbe nae anawaza hilohilo ukiondoka anasema asante Mungu kuniondolea shetani huyu
 
wenye tabia hiyo ni wale wa goli moja...hawezi tena..wale wenye ashiki mwanangu waweza sahau pichu kisa mpelekesho wa BAMIA
 
saa nne usiku unapigiwa simu unaitwa ofisini, kumbe wewe mlinzi umetoroka lindo?
 
Back
Top Bottom