Mnataka pesa au mnataka mapenzi,mbona hamweleweki?

Mnataka pesa au mnataka mapenzi,mbona hamweleweki?

Mhh! Dunia ya sasa....

Lakini mwisho wa siku kila mtu huvuna anachopanda.
 
Naomba ufafanuzi juu ya hili,hivi nyie wanawake wa jf mnataka mapenzi au pesa,nashangaa hamueleweki.

They love money,niggas with money.They love expensive cars,designers bags,shoes and going vacation to the other side of the f****ng world.That's what they love.
 
kwi kwiiiiiiiii

kuna mtu kashapigwa mzinga hapa lolz.
 
Women are in need of everything or nothing. Chagua mwenyewe hapo halafu uwape.
 
Ukitaka uitwe "Baby" hata kama una miaka 70 onyesha mkwanja tu
 
Back
Top Bottom