Dawa ya kuongeza nguvu za kike

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,194
2,000
Natafuta dawa ya kuongeza nguvu za kike kwa ajili ya mpenzi wangu. Hivi karibuni nimepata mpenzi mpya, mtoto wa kichaga, mrembo kweli kweli. Figure, color kila kitu kimetulia na shule imelala.

Tatizo ni kwamba hafiki kileleni. Nimetumia uzoefu na ujuzi wangu wote lakini tumekutana mara 3 hadi sasa na zote katoka kapa. Ameniambia anatamani afike kileleni, lakini nimejitahidi kufanya kila kitu kinachowezekana lakini wapi.

Binafsi sina matatizo yoyote na haijawai kuwa kazi kubwa mimi kumfikisha mwanamke kileleni, ila huyu nimenyoosha mikono juu. Nafikiri atakuwa na upungufu wa nguvu za kike. Jamani mwenye dawa naomba anielekeze maana sitaki kumpoteza huyu binti, lakini kama hali itaendelea hivi bila kupata dawa basi huwenda tukaachana.
 

Mapi

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
6,854
1,250
yawezekana kiwango kilionekana kikubwa mechi za mchangani, na hiyo ni ligi kuu.
 

tinya

Member
Jan 4, 2010
77
95
Unamwandaa vyakutosha?
Mazingira mnayofanyia ana amani nayo?
Chunguza mlo wake:
Ni mafuta mafuta tu:
 

Nokia83

JF-Expert Member
Jan 16, 2014
24,630
2,000
Mazee huyu ni Mgonjwa. Unaweza katika kiuno utafikiri umefungwa mota lakini wapi. Anahitaji dawa.

Ukate kiuno kwa ww mzaire?..mwandae vzr pitia kila sehemu uone kama hatofika kileleni mkuu,unahitaji darasa uweze kujua nn cha kufanya
 

pashu

JF-Expert Member
Jan 21, 2014
362
195
Muandae vya kutosha kwanza


Tatizo lenu mnakimbiliaga kutwanga kabla ujaandaa vyombo,ndo ugonjwa wenu mkubwa

Sasa ladha ya chumvini utaipataje?na mnato utatoka wapi?wakati unatwanga kitu kavu kama ngozi ya mamba?
Dawa andaaa kwanza
 

Kaunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
12,564
2,000
Mwambie aache kufikiria kuhusu pesa mkiwa mando.

Seriously, asiwazie kuhusu kufika, aenjoy hiyo lovemaking na afanye pindi anajisikia. Na wewe usiwazie kbs kuhusu kilele. Just enjoy every touch, kiss na push mwisho wa siku itatokea tu. Punguzeni anxiety.
 

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,194
2,000
Unamwandaa vyakutosha?
Mazingira mnayofanyia ana amani nayo?
Chunguza mlo wake:
Ni mafuta mafuta tu:
Mara ya kwanza tulidhani hivyo na yeye akasema alikuwa hajatulia kiakili, mara pili hola. Mara ya tatu alikuwa amedhamiria kabisa, meaning ana amani na yuko radhi, na tulikuwa safari sehemu ya utilivu kabisa. Tulifanya foreplays za kila aina, maana tumepima mara mbili na tukaonekana tuko safi. So tunafanya lolote
 

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,194
2,000
Muandae vya kutosha kwanza


Tatizo lenu mnakimbiliaga kutwanga kabla ujaandaa vyombo,ndo ugonjwa wenu mkubwa

Sasa ladha ya chumvini utaipataje?na mnato utatoka wapi?wakati unatwanga kitu kavu kama ngozi ya mamba?
Dawa andaaa kwanza
Ndugu, hadi kutafuta dawa, inamaana nimefanya kila ambalo linawezekama. Na bahati nzuri anaonekana kufurahia all romantic activities ambazo tunafanya. Na tunafanya kwa muda mrefu. Lakini bado hafiki. Ni shidaa
 

iMind

JF-Expert Member
Mar 27, 2011
2,194
2,000
Ukate kiuno kwa ww mzaire?..mwandae vzr pitia kila sehemu uone kama hatofika kileleni mkuu,unahitaji darasa uweze kujua nn cha kufanya
Kwanza niseme tu swala la love making nimesomea darasani, pia nimesoma vitabu vingi na practically nimekuwa nikifurahia mapenzi na wasichana kadhaa bila shida. Hadi kutafuta dawa ina maana nimefanya kila liwezekanalo.

Pengine ni seme tu, huyu dada anawakilisha kundi la wanawake wengi ambao hawafiki kileleni, siyo kwa sababu wapenzi wao hawana ujuzi au nguvu, bali wana matatizo ya aidha kisaikolojia au kimaumbile. Shida ni kwamba wanawake wengi hawasemi, kama hawafiki na wengine wengi wana fake orgasm. Wachache walio wazi kama huyu ndo unaweza kuwatambua.

Naamini kuna dawa ya mitishamba kutibu hali hii. Ana sex drive, na nyege, anasikia raha na ana enjoy sana wakati wa kufanya mapenzi, lakini hafiki kilele.
 

miss wa kinyaru

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
542
195
Mchaga kufika kileleni ni vigumu maana wao huwa wanafikiria pesa utakayompa na si mapenzi unayompa. kazi unayo jitahidi kumpa pesa nyingi atafika tu kileleni wala usihangaike kutafuta dawa tafuta hela hapo utamfikisha mpaka alie
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom