Kaka mimi hua nasema hivi"Ukiona mtu sio mtu wako wa karibu anakopa hela kwako jua watu wake wa karibu wote kawamaliza kwa kuwakopa na kushindwa kuwalipa au kuwazulumu". Hivyo ulikutana na tapeli.
Ni kiwanda kidogo kinazalisha bidhaa na kusambaza. Kwaiyo anatafutwa kijana mwenye ushawishi wa kuuza bidhaa pamoja na uzoefu wa kazi za mauzo. Malipo kwa commision ila utapewa usafiri au nauli siku utakazokuwa kazini. Njoo inbox tuongee zaidi.
tamisemi inafanya kazi na halmashauri zote. Na halmashauri ina idara nyingi. Kwa uchache tu ipo
1) idara ya fedha- hapo kuna wizara ya fedha,
2) idara ya uchumi na mipango wizara ya fedha na mipango,
3) idara ya afya-wizara ya afya,
4)idara ya elimu-wizara ya elimu,
5)idara ya kilimo- wizara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.