John L. Mihambo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 526
- 180
Hizi Ndo akili Finyu Tunazozipigia Kelele mtu alifanya Interview mwaka 2005 ambapo wasailiwa walikua 120 anakuja analinganisha na Mwaka 2017 ambapo wameita Wasailiwa 29,700
Katika watu 29,700 nawaambia Mtihani lazima Uwe Competitive usibweteke Pepa Itakua ngumu we Mwenyewe haushangai Watu 29,000 interview hii imevunja Record.
Aisee! Watu wote hao mnafanyia hiyo interview wapi? Kwenye "Uwanja wa Mpira" au? Kazi kweli kweli