Recent content by misha nyangassa

  1. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee

    [emoji29]
  2. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee

    Daah!
  3. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee

    Duuh!! You just really made my day
  4. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania Microsoft Lumia 640 xl dual sim

    Asante mkuu
  5. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania Microsoft Lumia 640 xl dual sim

    Wakuu nina aina hiyo ya simu nahitaji cover lake la nyuma. Je, naweza pata wapi kwa Dar es Salaam?
  6. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania GX100 naomba maoni yenu watumiaji

    Hiyo gari ikipita sehemu utasikia watu wanasema "Mnyama huyo!"
  7. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania Bajaj boxer x cross 2016

    Mkuu chukua tu hiyo pkpk haina shida, kikubwa zingatia services. Ni nzuri kwa bodaboda hata matumizi binafsi. Pia usisahau usafi maana boxer ikiwa safi inapendeza sana
  8. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari vinamdhulumu Dr. Shika

    Mi nadhani tuwaache na udhalimu wao na usandiki wao. WATUPATIE CONTACTS ZAKE WATANZANIA WENYE MIOYO YA HURUMA TUPO WENGI TUTAMCHANGIA MAMILIONI YA PESA
  9. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania Airtel Mnasumbua, Na Hakuna taarifa..!

    Dawa ni kuwakimbia
  10. misha nyangassa

    JamiiForums Tanzania Airtel Mnasumbua, Na Hakuna taarifa..!

    Kuna sehemu mnara wao umeanguka una wiki mbili sasa hakuna walichofanya
  11. misha nyangassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Tena mwanamke ni KIUMBE mdogo sana kwa MWANAUME. Nashangaa hata huu ujasili wa kuyatoa mambo yao ya ndani na kuyaleta hapa wanautoa wapi!
  12. misha nyangassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Hawa viumbe wanawake wapo wengi sana sana motoni. Kuna % nyingi sana cheating za wanaume zinasababishwa na hawa viumbe Wanatia majaribuni sana wanaume kwa style ya mavazi wanayovaa siku hizi. Kwa mwanaume aliekamilika ni ngumu sana kuyashinda haya majaribu yao.
  13. misha nyangassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Hivi unaweza sema umetubu kwa kosa lipi?!
  14. misha nyangassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Microsoft 640 inaleta shida kwenye ku download apps zenye MB kubwa

    Ngoja niangaike nayo then kesho nitakupa feedback mkuu
  15. misha nyangassa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Microsoft 640 inaleta shida kwenye ku download apps zenye MB kubwa

    Wadau natumia window 10 ktk hiyo simu but shida yangu kubwa nikitaka ku download apps ktk store nafanikiwa kwa apps zenye MB ndogo ndogo, lakini zenye MB nyingi kuanzia 100 na kuendelea inaanza kidogo then ina stop. Pia hizo zenye MB kubwa nikitumia WiFi nazipata vizuri tu mwanzo mwisho. Je, ni...
Back
Top Bottom