Airtel Mnasumbua, Na Hakuna taarifa..!

HIVI KUNA WADAU BADO WANATUMIA MTANDAO KAMA AIRTEL, nina uhakika kabisa AIRTEL wana haha hawajui kesho Yao hata wao wamekata tamaa kabisa ndio maana hawafanyii kazi mtandao wao. Binafsi niliachana nao kitambo sana
 
Ukitaka kasi hamia voda ila ukubali kupata mb kidogo tena mipesa mingi. Ukitaka mb nyingi nenda Airtell ila kubali mwendo wa kobe and sometimes mb zinaexpire hujazifanyia kazi.
 
Back
Top Bottom