Najitambulisha kwenu wakuu naomba mnipokee

Karibu sanaa mkuu.
Hapa pana kila aina ya watu wenye kejeli,hekma,utani utani,zarau na chuki.

Kifupi ni kama hukohuko tu ulipo la muhimu ni kuwa halisi tu.

Watakuja watu wanakukejeli wala usimind maana wengine ni utani wengine umri unawaruhusu kufanya ivo.
 
Humu ndani wadada wanavutiwa zaidi na picha fake za models wenye six pack, au gentlemen in suits and fancy cars!

Imefikia hatua mtu akiweka picha yake halisi anaitwa chura!

God is watching!
Umeumia sana eeeh
Wala sina interest na mamodo wala wenye rangi ya jamaa
Nimezoea black mamba.
Na ni kufurahisha genge tu.

Hasa baada ya binti yangu kugusia jamaa alivyoweka mdomo wake.

Pole sana.
 
Karibu sanaa mkuu.
Hapa pana kila aina ya watu wenye kejeli,hekma,utani utani,zarau na chuki.

Kifupi ni kama hukohuko tu ulipo la muhimu ni kuwa halisi tu.

Watakuja watu wanakukejeli wala usimind maana wengine ni utani wengine umri unawaruhusu kufanya ivo.
Hahaaa. Kaka mie pia nataka nikazie hapo hapo.

Na kjf jf lazima ashangaliwe sababu hakuna wanaojirusha kiasi hiki.

Hongera mgeni karibu jf. Lol.
 
Karibu sanaa mkuu.
Hapa pana kila aina ya watu wenye kejeli,hekma,utani utani,zarau na chuki.

Kifupi ni kama hukohuko tu ulipo la muhimu ni kuwa halisi tu.

Watakuja watu wanakukejeli wala usimind maana wengine ni utani wengine umri unawaruhusu kufanya ivo.
I second you alafu unakutaa na wanaume wanashabikiaa mwanaume mwenzao kusemwaa yaan wanaume wa jf jaman nimewashindwaaa ..mbona huyu baba anafaa kabisa kwa matumizi jaman daaaah ilaa watu wanadhambi saanaaa ...
 
Basi tu so ndo huu msemo ati lazima tuishi sawa,
Basi purukushani tupu unahangaika weee kutafta unarudi kutupu.

Sema neema ipo yaja baada ya hili kupita la dhiki.
Kweli kabisa Kaka ake.

Ila cha muhimu uzima, kwa kuwa upo basi tunajitahidi kupambana hivyo hivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom