Shikamoo mwanangu, nasalimia pesa zako na moyo wako wa kujitolea kwa ukombozi wa nchi yetu.....aishiye kwa upanga hufa kwa upanga, CCM inapelekwa Makaburini na CDM ndio wanafufuka.
Hivi semina elekezi wanazopatiwa kwa gharama kule Ngurdoto, huwa wanapewa mtihani kupima uelewa wao?sawa na kwenda na suti kuzindua mbio za marathoni?...kabla ya kuongea fanani lazima ujue hadhira unayoenda kuzungumza nayo.
Vema na haki walichotenda wanafunzi
Kilichonishangaza zaidi ni pale aliposema "unakuta wizara au halmashauri ilipotembelewa na CAG haikuwa na risiti/viambatanisho vya matumizi, lakini ripoti ya CAG ikitoka unakuta tayari wameshapata risiti/viambatanisho...kwahiyo zile tuhuma zinafutwa kwenye ripoti".
Upuuzi mtupu, siamini kama...

Kupenda kazi....kusema kweli CDM ipo juu kama rubani hewani, kila siku CC-Mafisadi inazidi kubakiwa na vikongwe....wale wa-today wanawaona kama Chocklate za Bamia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.