Mikael Aweda
JF-Expert Member
- Dec 17, 2010
- 3,129
- 4,285
Viva le M4C
Nampongeza sana Dr Mkumbo Kitila kwa kazi nzuri. Yeye ni miongoni mwa waliosadia uanzishaji na ukuzaji wa CHASSO ambayo ni uti wa mgongo wa Chadema vyuoni. Bravo Dr.
Viva le M4C
Sioni cha ajabu hapo...mle mle!Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Dk Kitila Mkumbo, jana alikabidhi kadi kwa wanachama wapya 56 kutoka Chuo cha Mtakatifu John, akiwamo Mhadhiri wa chuo hicho, Martine Tetti.
Dk Mkumbo alisema unahitajika ujasiri katika kutekeleza dhana ya mabadiliko nchini, kwa kuwa CCM imekuwa ikitumia mbinu mbalimbali za kutaka wasomi wasihusike kwenye siasa ili kuendeleza siasa chafu za ufisadi na rushwa.
Source:Mwananchi Jumatano
Huyu Dakta kawa critical kivipi kuleta mabadiliko chamani mwake kwanza?
Swali tu.
m4c at work, hongera dr.
ulitaka aende kwa wale wachovu wa mum wasiojua mabadiliko?Sioni cha ajabu hapo...mle mle!
Sioni cha ajabu hapo...mle mle!
ulitaka aende kwa wale wachovu wa mum wasiojua mabadiliko?
Huyu Dr nimezoea kumsikia tu hapa JF, but uraiani hajulikani kabisa!! kwanza hana mvuto wa kisiasa, aendelee tu kushika chakiWewe ni wa kuhurumiwa tu...
Huyu Dr nimezoea kumsikia tu hapa JF, but uraiani hajulikani kabisa!! kwanza hana mvuto wa kisiasa, aendelee tu kushika chaki
Sioni cha ajabu hapo...mle mle!
Huyu Dakta kawa critical kivipi kuleta mabadiliko chamani mwake kwanza?
Swali tu.
Sioni cha ajabu hapo...mle mle!
Usijali atafika na kule Zarau Islamic University, Makorora Tanga.......tafadhali hakikisaha unakuwepo
Nawashangaa mnavyoniquote vibaya...hamna sehemu yoyote nimehusisha mambo ya dini...nyie mnajishtukia tu!Hizo ni dalili za kufirisika sera kichwani mkuu,kumbuka st john sio kua wanasoma ni wakristu tu!dunia ya leo ukiona mtu anajenga hoja za udini na ukabila ujue kaishiwa hoja kichwani
Dr kitila unatuboa wana iramba magharibi. Njoo, tukupe jimbo kaka. Kama hilo hulitaki sema.
Sioni cha ajabu hapo...mle mle!