Amefia nchini kwake, katika hospitali zao, hilo nalo la kujifunza siyo kila kitu India huku tunaacha hospitali zetu hoi hat panadol shida! R.I.P Mills.
Haina makosa mkuu lakini hili ni somo kwa jkKazi ya mungu haina makosa.
Hapo sasa hivi VIONGOZI wetu wanapiga fitna ya kujumuishwa kwenye msafara wa ****** kwenda kuzika. maana bila shaka ****** lazima aende kumbe angeweza kumtuma hata balozi wetu alie nchi Jirani (Nigeria) akamuwakilishe lakini kwa sasa anataka akauze sura lazima atie timu mwenyewe......Tujikumbushe alipokwenda kuzika Malawi(Bingu wa Mutharika), Zambia (mwanawasa), South Africa (Mama Albertina Sisulu), sasa Ghana (atta Mills) naona hivi karibuni atenda Kenya(maana Mzee naona amechoka hoi any time anaweza kuwahi Akhera, coz hata kuongea inakuwa taabu). BRO mbona kuzika imekuwa AGENDA YAKO NAMBA 1?huna lingine la kufanya?
Amefia nchini kwake, katika hospitali zao, hilo nalo la kujifunza siyo kila kitu India huku tunaacha hospitali zetu hoi hat panadol shida! R.I.P Mills.
Hao viongozi wa TZ wangoje tuu wakitoka madarakani ni kuwaburuza mahakamani, haiwezekani wezi wnaiba eti wamesamehewa, mbona wezi wa kuku wako magereza???Kuna fedha nyingi huko Uswiss SA hadi CayMans Island of shore Accts lazima tupate fedha zetu!!!!Kufuatia kifo cha Rais wa Ghana viongoz wa tanzania wamejifunza nini.Kw sababu wamejilimbikizia mali nyingi huku wananchi wakiwa hawana matumaini yoyote ya maisha yao ya baadae.Hivyo wajue kifo ni mwsho wa yote na hakina taarifa.Watumikien wananchi muwe na uzalendo kwa watanzania.Nawasilisha wakuu
Mkuu Mungu haui.take note of that going forward.Kazi ya mungu haina makosa.
Kwa Kifo hiki nafikiri viongozi wetu wanawaza Safari ya Kwenda Msibani Ghana so watapata PER DIEM na ADVENTURE hususani MKULU! maana huwa hakosi misiba huyu!
Yaap amefia kwake bt wiki mbili nyuma alikua America akitibiwa cancer ilokua ikimsumbua so usisema usoyajua...alafu Yule Joshua si huwa anaombea watu wanapona imekuaje ameshindwa kumponyesha kondoo wake cancer!?...mungu amuweke anapostahili amen
siku za mwisho zimefika walio wake watanyakuliwa suiwe na shaka amepumzika baba jiandae na wewe kesho utakuwa wapimungu hivi kwa nini unawaondoa watu wema humu duniani...yaani kuna wengine tuna mamizigo ya misumali lakini unayapa maisha marefu yanadunda tu na kazi kutusababishia foleni tu njia ya tazara kutoka airport...chukua haya madubwana mheshimiwa mwenyezi mungu.